Wewe mwana Yanga SC mwenye ALPHARD Nyeusi kaa mbali na huu Uwanja wa Mkapa kwa Usiku huu sawa?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Wana Simba SC tunaposema kuwa tuko Kazini hatutanii tupo Kazini kweli kweli mpaka Raja Casablanca FC kesho ajute kuja Tanzania.

Wewe mwana Yanga SC mwenye hiyo Gari tajwa tunajua ndani ya hilo Gari yuko Mganga wenu Mkuu na Tegemeo atokae Kilosa Mkoani Morogoro aliyewapeni Ubingwa msimu uliopita na aliyezuiwa Uwanja wa Ndege nchini Tunisia japo ile Mechi yenu ya Club Africaine kule Tunisia aliwasaidia akishirikiana na Masheikh wa Tunisia aliowaleta Kocha wenu Mkuu Nabi.

Na ili ujue kuwa tumeshakujua ndani ya hilo Gari lako ukiachia mbali kuwa na huyo Mganga wenu Mkuu wa Kilosa Mkoani Morogoro pia mpo na Viongozi Wawili wa Raja Casablanca FC na Afisa Mmoja Mnafiki wa TFF ambaye ni mwana Yanga SC lia lia.

Binafsi kama MINOCYCLINE naingia rasmi ndani ya huo Uwanja kuanzia Saa 6 Kamili kwa Kazi Maalum hivyo nakuomba ukifika tu huo muda ondoka hapo vinginevyo kwa Kinachoenda kufanyika hapo unaweza usiwe tena Dereva wa hilo Gari lako na mkajikuta Tandahimba kwa Usiku huu huu.

Wapuuzi wakubwa nyie mnajifanya mnataka kuja Kuirogea Yanga SC na Mechi yake ( yenu ) ya Jumapili kumbe mnataka kuja Kutuharibia Simba SC na Mitego yetu tuliyoiseti na tuna uhakika Kesho Raja Casablanca FC wakiingia tu Uwanjani watauvagaa na hapo ndipo Kiama chao Kitaanza.

Nyumba za Jirani tafadhali mkisikia Bundi analia msishtuke endeleeni tu Kulala kwani Wanamume tuko Kazini Usiku huu na kwa wale Wakazi wa Temeke tunawaombeni Radhi mkipotelewa na Paka wenu au Wengine wakirejea Makwenu Jumapili tuvumiliane kwani Simba SC inaenda Kupeperusha Bendera ya Tanzania Kesho kwa Mkapa.

Kama unadhani Kesho Simba SC anaenda Kufungwa na Raja Casablanca FC ( au hatoshinda ) tafadhali wqpigie Simu Madaktari wa Hospitali za Wendawazimu za Milembe Mkoani Dodoma na Lutindi ya Mkoani Tanga ili wakuwahie ( wakuwekee ) mapema Kitanda chako cha kuanzia Matibabu ya Ugonjwa wa Akili unaokusumbua.

Kama Wewe ni mwana Simba SC na mpaka sasa hujakata bado Tiketi yako ya Kuingia Uwanjani Kesho kwa Mkapa na hujiamini au una wasiwasi basi hufai kuwa mwana Simba SC hivyo hujachelewa kuhamia kwa Wasiojua na Wasiojiamini Yanga SC ili utuache tunaojua nini tunafanya ( hasa Kimataifa ) tuweze Kufurahi kama siyo Kufurahia.
 
d30b4ea8ef2842e8b622f4a5cbf30b6f.jpg
 
Mganga na Sheikh wanashirikiana!! Haya sawa
 
Sijui tumlaumu Mungu, Wazazi au Mtoto mwenyewe?
Hii siyo akili ya kawaida eti.
 
Kwa Simba mbovu how comes yanga asiwe bingwa?
 
Kama Genter vile .
 
Back
Top Bottom