Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Lol, afu yule jamaa hajaitumia tena ile id yake, nafikiri ameamua tu kukubali yaishe...na ukata huu utapeliwe malaki mawili?? Hatasahau milele asee.
Mwayego nipm mimi,nitakujibu. Ila kama ina hasira uziache huku sebuleni. Haya,twenzetu.
mkwe wewe! Ntakusemea mimi.
Duh! Sasa unashida na bado mtu akupm!
Wadada msaidieni baba wa watu, anashida jamani!
mkwe wewe! Ntakusemea mimi.
NshakuPM
Hapa nimekusoma vizuri!
Uxawaza kwenda chooni kutoa kimba la ugali wa mtama,kinachokutia homa ni namna ya kulitoa kimba la ugali na mtama lilivyo gumu!
Lol, afu yule jamaa hajaitumia tena ile id yake, nafikiri ameamua tu kukubali yaishe...na ukata huu utapeliwe malaki mawili?? Hatasahau milele asee.
wamesha ku PM KUkusaidia mkuu?
Una lako jambo la kifataki kwani mtaani kwenu hawapo?
dah ipo kazi..
Duhh nimechelewa pole kwa yote .
Kama bado unataka wa kuongea naye
Ni dondoshe PM. Take care .
ndugu yangu hapa kuna mawili.......kumbuka ID zinazotumika hazionyeshi jinsia.....
labda wewe mwenyewe ungeamua kumPM yule ambae unaona umeridhika nae....
Jf bana! Humu ipo siku mtu atamtongoza boss wake. Ama kidume kimtongoze mkewe live!
Haya langu jicho.nyie njooni na mbinu za kitoto...toto tu hapa.
msada lazima uwe mtongozo?