Wana MMU wakike msaada pliiziii!

Hee!Unajua anachotaka huyu?

so umeshakijua nnachokitaka. prejudice.
Ina maana yule mzee wetu hayati wa pale magomeni mwembechai amekuachia mikoba?
nambie leo saa hizi nawaza kufanya nini.
 
Unanisomaga vibaya ndugu.......alafu midamida tu nilikuwa na mpango wa kuitafuta ile thread niangalie replies zako, but anyways ngoja nijiengue taratibu aiseee!!

hata we hapo umenisoma vibaya
 
Mwayego nipm mimi,nitakujibu. Ila kama ina hasira uziache huku sebuleni. Haya,twenzetu.
na mimi naomba ni ku PM,nina matatizo na mke wangu wa 30 years.
nalog off (source:Washawasha)
 
Hili nalo neno, asijekuwa kama yule jamaa walomkwanyulia mkwanja wake!!!
Lol, afu yule jamaa hajaitumia tena ile id yake, nafikiri ameamua tu kukubali yaishe...na ukata huu utapeliwe malaki mawili?? Hatasahau milele asee.
 
Duhh nimechelewa pole kwa yote .
Kama bado unataka wa kuongea naye
Ni dondoshe PM. Take care .
 
usinilazimishie ban. kama hutaki kuchangia kaa pembeni hujaitywa. afterall nimewaomba wanawake, we mwanamke? au hujui jinsia yako. au unabembeleza urafik kwa wanawake wa humu kupitia hii thred. usinilazimishe kuandika zaidi.

mkuu mbona una hasira sana?kwani alichoandika kikakufanya utoe povu hivyo ni nini?
 
Hehehe, ntakuingiza chaka hutaamini best! Sasa kama mke kakushinda, si itabidi utumie small house formula ya The Boss?
na mimi naomba ni ku PM,nina matatizo na mke wangu wa 30 years.
nalog off (source:Washawasha)
 

Una lako jambo la kifataki kwani mtaani kwenu hawapo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…