Tazamamtuhuyu
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 277
- 90
Kila mtu ana namna yake ya kumrudia Mungu, na sababu zake za kufanya hivyo. Wewe mrudie tu vile una sababu zako za kumrudia...
Namna ni moja tu kumkiri Bwana Yesu hakuna namna nyingine.
Kila mtu ana namna yake ya kumrudia Mungu, na sababu zake za kufanya hivyo. Wewe mrudie tu vile una sababu zako za kumrudia...
Siku hizi imekua fashion kumrudia mola wakati wa matatizo,nimechunguza walokole wengi hasa akina dada hurudi makanisani wakishapatwa na majanga, mfano:Kuchelewa kupata mtoto.
Kukosa wachumba na umri unasonga.
Migogoro ya ndoa.
Uchumi kuyumba n.k.
Niwaambie neno moja nikiwamo na mimi Mungu si wa kipindi cha matatizo, always mtafute muda wote na nyakati zote za raha na shida daima atakusikiliza zaidi ya pale tupatapo shida na kuanza kukimbilia makanisani.
Very point ndugu yangu,mwambie huyu ndugu asome Bibilia ahache kulishwa maneno ya mapokeo yasiyo na tija.Yesu akuponye wewe ulioandika mambo ya kudhani wanaokolewa kimajungu .Ndio wako sahihi kabisa kwasababu Yesu alisema "alikuja kuokoa roho zilizopotea"
Tena akasema
"Wenye afya hawamhitaji daktari wanaomhitaji ni walio wagonjwa,sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu".
Tena akasema," duniani mnayo dhiki lakini jipeni moyo kwamaana mimi nimeushinda ulimwengu"
Kwahiyo Yesu alikuja kwa ajili hiyo, unless kufa na kufufuka kwake kusingekuwa na maana!
Tunajua Mungu hatakiwi kufuatwa wakati wa shida tu,lkn kupitia shida ndo wengi wamemjua Mungu!
Nb:makanisa mengi hayafundishi kweli,yapo mazoea tu!
Ndio wako sahihi kabisa kwasababu Yesu alisema "alikuja kuokoa roho zilizopotea"

Very point ndugu yangu,mwambie huyu ndugu asome Bibilia ahache kulishwa maneno ya mapokeo yasiyo na tija.Yesu akuponye wewe ulioandika mambo ya kudhani wanaokolewa kimajungu .
Ndio wako sahihi kabisa kwasababu Yesu alisema "alikuja kuokoa roho zilizopotea"
Tena akasema
"Wenye afya hawamhitaji daktari wanaomhitaji ni walio wagonjwa,sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu".
Tena akasema," duniani mnayo dhiki lakini jipeni moyo kwamaana mimi nimeushinda ulimwengu"
Kwahiyo Yesu alikuja kwa ajili hiyo, unless kufa na kufufuka kwake kusingekuwa na maana!
Tunajua Mungu hatakiwi kufuatwa wakati wa shida tu,lkn kupitia shida ndo wengi wamemjua Mungu!
Nb:makanisa mengi hayafundishi kweli,yapo mazoea tu!
Hii in nitoke vipi ya kipekee.Yaani unafanya dhambi zako peke yako
out of guilty unakuja kushauri watu wamrudie Mungu
as if unajua hao watu wako mbali na Mungu
wakati wewe unamrudia Mungu,wenzio wako na Mungu all the time
Mbona unatoka povu mdogowangu....kama akili zingekua ni nywele basi wewe nafikiri ungekua na PARA la wembe.
Siku hizi imekua fashion kumrudia mola wakati wa matatizo,nimechunguza walokole wengi hasa akina dada hurudi makanisani wakishapatwa na majanga, mfano:Kuchelewa kupata mtoto.
Kukosa wachumba na umri unasonga.
Migogoro ya ndoa.
Uchumi kuyumba n.k.
Niwaambie neno moja nikiwamo na mimi Mungu si wa kipindi cha matatizo, always mtafute muda wote na nyakati zote za raha na shida daima atakusikiliza zaidi ya pale tupatapo shida na kuanza kukimbilia makanisani.
Watu wanadhani kuponda na kukejeli yaliyoletwa na wengine ndo ujanja kumbe uhopeless, ni kweli kabisa huyu Tarime one anahitaji uponyaji.
Kwani Yeye ni mwenye huruma na Amejaa neema na rehema tele.
Tusiwafanyie watu mambo tusiyopenda watufanyie sisi....na tuwapende jirani na adui zetu kama tunavyojipenda wenyewe....Mwenye ufahamu ameelewa na mwenye macho amesoma.
Muwe na weekend njema.
Mungu pia utumia matatizo/vikwazo ili kumrudisha mtu kanisani/kwenye maombi/kwenye ufalme wake...ivyo wanaporudi inamaana wamejua Mungu ndio kipindilio lao na Mungu anapowajibu maombi yao wanazidi kumwamini na kusimama kwenye Imani....Asilimia 98 wengibwalisimama kimsombi baada ya kuwa na vikwazo fln....lakn wametendewa na wamezidi kumtukuza Mungu..."Mungu anasems njooni ninyi nyote mlio na mizigo nitawapumzisha"
ukiwa na matatizo au ukitenda dhambi kimbilia kwa Mungu ndio kimbilio letu.
Mungu akulipe kila lililojema na akufungulie mambo yako and hereafter akuingize peponi. Binadamu tumekuwa wanafiki vya kutosha, binafsi siamini kuwa kuna mpagani humu jukwani. Wengi tuko either waislamu au wakristo. Pande zote mbili zinaa imeharamishwa waziwazi lakini tunakuja na thread za ajabu ajabu. please my dears tutambue kuwa ukifundisha elimu njema utapata malipo hata ukiondoka vivyo hivyo ukifundisha elimu njema.
Mfano leo akitajwa firauni hata asiyekuwa na dini anajua no mtu mwovu sliyewahi kupita kwenye huu ulimwengu. Twendeni makanisani na misikitini kwa kumaanisha huenda Mungu akatufanyia wepesi akatupa wenza watakaokuwa na huruma, kujali na mapenzi ya kweli.
Asanteni.
Ubarikiwe kwa elimu nzuri. Unajua watu wengine huwa proud na furAha yao ni kuona mtu anaaibika au anafeli katika mambo yake, nimeleta uzi nasema tuwachukulie jirani zetu kama sisi wenyewe na tumrudie Mungu, halafu wengine wanaleta yao....watu wana maudhi sana.