Wana MMU tumrudie MUNGU

Nieleweshe ili niokoke nisiwe hopeless.

Mungu ni mwenye huruma na
Amejaa neema na rehema tele.
Tusiwafanyie watu mambo tusiyopenda
watufanyie sisi....na tuwapende jirani na
adui zetu kama tunavyojipenda
wenyewe....


Katika post zako zote umeyagusia haya
 
Yaani unafanya dhambi zako peke yako
out of guilty unakuja kushauri watu wamrudie Mungu
as if unajua hao watu wako mbali na Mungu
wakati wewe unamrudia Mungu,wenzio wako na Mungu all the time

Kumbe na wewe siku mojamoja unaongea pumba kama wanajf wengine
 
Amina tumesha chukua hatua baadhi yetu na ndio maana karibu kila posti hukosi neno Mungu nimoja ya hatua kubwa
 
Back
Top Bottom