Wana MMU Bwana

Wana MMU Bwana

Hata idea sina.....watu wangu ni wema hawana uswahili huo....tukikutana leo tupo hapa basi ni story tuuu na siku ikiisha kila mtu kulala kwao....
Ooooh..kwahiyo mi nimekosea?
 
Wapo ambao unaweza dhani wanajikweza ila wana hayo maisha mazuri kweli..and they openly talk about it..
Ila wengine sasaaa mhhh...
 
asee karibuni kijijini huku nyama ya mbuzi kilo f3 tu mboga ya majani fungu hilooo ukiulizia sh ngapi utajibiwa CHIKUMI yaani sh mia mayai ya kienyeji kibaoo ulizia bei 200 had 150 per egg unachukua, maziwa fuleshii hata hayaweki maji kichupa cha soda ya take away kimoja sh 200 kwa mwez f6 nyie bakini mujini mi kijijin kwanitosha
 
Avatar yako tu maamaa...
 
sehemu kama hii inawatu tofauti toka sehemutofauti na malezi tofaut na tabia tofauti,vitu kama hivi ni kawaida kutokea.
 
kuna mambo ukisikia watu wanalalamikia, kitu kinachokuja kichwani haraka ni 'umri?!!?'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom