Nimekwazika sana yani hawa watu wa dry cleaner sijui wakoje
gauni langu la laki 3 ndo limefanywa hivi?uuuh they don't know me
ngoja niwashe gari angu niwafate
Vaislay nakusalimu katika jina la bwana....
Kumbe Pinda ni braza aakoo..???
Nimekwazika sana yani hawa watu wa dry cleaner sijui wakoje
gauni langu la laki 3 ndo limefanywa hivi?uuuh they don't know me
ngoja niwashe gari angu niwafate
Vaislay nakusalimu katika jina la bwana....
ha ha ha shosti hivi gauni lako hilo la harusi ulinunua wapi? emu nicall nipo hapa mlimani city nachagua viatu!!!
asante....ila nilikumiss sijui ulichepukia wapi?
jamani simu ilizima..ngoja nikucall
Yani huwezi amini hilo hata sio la harusi ni la kawaida tu kuvaa hapa nyumbani dear
Mimi ndio kapuku kabisa humu ndani. tule tunyumba twangu tuwili Masaki na kale kamoja pale Oysterbay visiwafanye muwe mnanicheka. Ipo siku na mimi nitanunua Boeing 787 Dreamliner kama ya Mtambuzi
Pole sana ndugu humu ndan kila mtu anajielewa mwenyewe 2navaa uhusika wa ajabu ajabu sana mashauzi ndio balaa
mzima??
ulimkimbia ww mi nitamuweza kweli?
Yani huwezi amini hilo hata sio la harusi ni la kawaida tu kuvaa hapa nyumbani dear
Muelezee laki tatu ni top dress tu ya kushindia wknd. Gauni ya harusi ulinunua milioni 2, na viatu laki 3.5
ningejua unaenda dry cleaners si ungenichukulia vyupi vyangu! Kesho sina hata cha kuvaa
halafu wengi wana stress za mahusiano. napita tu.
hahahaha! Hivi kaghorofa kako pale posta kameisha?na vip vijisent vyako vya uswisi umevichukua?
Hahhahahah nashukuru mkuu kwa kufatilia uzi huu..hongera mkuu kwa uwazi hata mimi ni mfuasi wa uzi wako huu. watu kila mtu ni yeye ila ngoja niulize kiduuchu hivyo ndo ulivyo kwenye avatar yako? charity begins at home sio?