Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
:whoo::whoo::whoo:Hongereni sanaaa
Na wewe hongera kwa kutofika................................
:whoo::whoo::whoo:Hongereni sanaaa
Sawa mkuu!...tuko pamoja...Usisahau kuleta Senene wa hapo Kaishozi!Next time sitakosa ......I am deeply sorry..................tutawasiliana nikirudi angalau tukapate kisusio pale Madini..........au utumbo wa kuchoma.........au maini ya kuchoma...........hayo ni maeneo yangu mara kwa mara........................
Mkuu, ndio nani tena huyo anayetakiwa kupumzika kwa amani?Pumzika Assange wa Tanzania
Mheshimiwa sana Regia, tunashukuru sana kwa maombi yenu, safari ilikuwa ya mafanikio na burudani...Nawatakia kila la heri...Nawatamani.
Salimia wote,PakaJimmy,Pretta,Wiselady,MJ1,FL,Matty,Teamo,Kaizer na wengineo...
Uko kwenye dozi,are you sick,ndio maana ukatuzimia simu......
Wakuu,
Nipo Arusha sasa hivi na crew ya members wa JF toka Arusha na Dar. Maandalizi ni mazuri sana na maswali mengi yameulizwa na kujibiwa live. Ndo tunapata viburudisho baada ya session ya maswali na majibu ya takribani masaa matatu.
Ni jambo la kufurahisha sana kukutana na watu zaidi ya 20, kwa wakati mmoja ambao hamkuwa mnafahamiana kwa sura.
Kilichonifurahisha zaidi kila mmoja katoa maoni yake na yakachangiwa na wenzake, bahati mbaya nitawaacha kwani nipo kwenye dozi, lakini wana JF wa Arusha nawashukuru kwa moyo wenu huu!
Pj naona yuko bize na wageni kakauka
i hope wataenda karaoke night leo
Karaoke ilikuwa ya kufa mtu, hivi kwa nini ukose namna hii
Wakuu,
Nipo Arusha sasa hivi na crew ya members wa JF toka Arusha na Dar. Maandalizi ni mazuri sana na maswali mengi yameulizwa na kujibiwa live. Ndo tunapata viburudisho baada ya session ya maswali na majibu ya takribani masaa matatu.
Ni jambo la kufurahisha sana kukutana na watu zaidi ya 20, kwa wakati mmoja ambao hamkuwa mnafahamiana kwa sura.
Kilichonifurahisha zaidi kila mmoja katoa maoni yake na yakachangiwa na wenzake, bahati mbaya nitawaacha kwani nipo kwenye dozi, lakini wana JF wa Arusha nawashukuru kwa moyo wenu huu!
Acha uchoyo wewe kha! hata karibu
Tangia niingie humu jamvini sijamwona Pretta akiandika maandiko mengi hivi.....................she must have been thrilled to say the least...................huwa anaandika mstari mmoja tu.........................akizidisha sana miwili......she is now opening up.....isn't she?Mkuu.....kwanza nikupongeze sana kwa juhudi zako ambazo ndizo zimezalisha jambo hili tulilolifanya leo.....nimejaribu kupitia kwa harakaharaka kutathmini ni mtandao gani unaoweza kukutanisha watu kwa style hii nimeukosa.....ni jambo la kushangaza sana.....kuona watu wana upendo wa namna hii bila kufahamiana.....
Nikushukuru pia na wewe rasmi kwa kuacha shughuli zako na kuungana na sisi.....tumefurahi sana, na pia umetuongezea chachu ya kuifanya Jamii Forums iwe zaidi ya hapo ilipofikia.
Pia niwashukuru na members wale wote walioonyesha upendo wao wa kutoka Dar es Salaam kuja kuungana na sisi na wale wote walioshindwa kujumuika lakini walikuwepo na sisi kimawasiliano na kiroho.
Mwisho niwashukuru members wote wa Jamii Forums kwa upendo wao na Mungu awazidishie moyo huo huo wa upendo mlio nao.
Mkuu...tumekuweka kwenye sala zetu uweze kumalizana na dozi salama ili tuweze kuendelea kuwa na wewe katika jukwaa hii letu kwa ujumla.
JAMII FORUMS NI ZAIDI YA KEYBOARD
mkuu we acha tu... nasubiri teamo aje na ripoti kamili tuangalie either tujinyonge au tung'ate maweKaraoke ilikuwa ya kufa mtu, hivi kwa nini ukose namna hii
Sawa mkuu!...tuko pamoja...Usisahau kuleta Senene wa hapo Kaishozi!
mkuu we acha tu... nasubiri teamo aje na ripoti kamili tuangalie either tujinyonge au tung'ate mawe