Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
hahahaha!u got it ryt,,sina nguvu ya kuamka,,,mcng uuuuuuuu

Mcng uuuuuuu hahahahaha hope u are gud, we got Dar bit late sijui watu ndio wanarudi kutoka X Mass sababu tulikutana na foleni kubwa ya ajabu hadi saa sita usiku you can imagine
 
hapo umenena, ila hata kama una bif na mtu huna sababu ya kutokutana kwani ukikutana nae ndio mnaweza kuyamaliza kwa haraka. Samahani kwa swali hili kama utajisikia vibaya, wewe ni mzanzibari? Lugha yako inajieleza kama hukutania
Ndio yakhe..miye mzanziberi!...
Mwanakwerekwe ndio kwenye shehia yangu, kama utakuja weye nambie ntatokezea kukusabakhi.
Huku amani tu ami yangu!
 
Mcng uuuuuuu hahahahaha hope u are gud, we got Dar bit late sijui watu ndio wanarudi kutoka X Mass sababu tulikutana na foleni kubwa ya ajabu hadi saa sita usiku you can imagine

nilikucheck ukawa hupatikani roho yangu ikawa haijatulia ila sasa niko sawa,,,pole kwa uchovu finest wangu
 
Preta miss you to mamito, yesterday i was just so tired and wasted and my phone went off after calling you

nilipata wasiwasi....lakini Teamo na Kimey walinihakikishia usalama wako.......was gr8 guys.....kukutana vile
 
Huyu ndo kiwanja chake hicho dogo..huwa Bigirita akija anamletaga pale2.

Halafu huyu fitina zake ila najua jinsi gani ya ku-deal naye PK nakupa kazi ya kumfanyia surveillance WiseLady hadi nitakapo rudi chochote kitakachotokea you will be held responsible lol!!!!
 
hao sikuwa na imani nao kabisa nilimpa kimey atakupatia leo.

Yaani Kimey alikuwa vere vere ila imani yako kwangu najua ni thabiti sana hebu mwambie LONER anitumie kitu cha Arusha nimesahau kununua jana wakati tunaondoka lol!!!!
 
Yaani Kimey alikuwa vere vere ila imani yako kwangu najua ni thabiti sana hebu mwambie LONER anitumie kitu cha Arusha nimesahau kununua jana wakati tunaondoka lol!!!!

simwambii loner ng'oooo,,mpaka uniitie kimey,,au yuko guest nini?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom