Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,516
Pole babu.......hiyo hapo ni kwa ajili yako pia!!
Usikasirike eeh.......
Tatizo Acid nilikuwa sijamuona muda mrefu........
Am out! Baadae kidogo....
Sasa waweza kwenda kwa amani, kwa kuwa nafsi ya babu imejaa furaha na bashasha la kimapenzi....