Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,564
jamani mbona kurushana roho hivyo! hebu tuambiane vizuri kama vipi nasi tuelekee huko mara moja.Mambo yako "huku"...
jamani mbona kurushana roho hivyo! hebu tuambiane vizuri kama vipi nasi tuelekee huko mara moja.Mambo yako "huku"...
kwa wale mnaoenda tanga naombeni mmipm nina shida na ninyi
Kwa nini unahisi ni bahati kuambatana naye kwenda huko tanga?
jamani mbona kurushana roho hivyo! hebu tuambiane vizuri kama vipi nasi tuelekee huko mara moja.
Kesho kutwa ,yaani jumamosi asubuhi na mapema!unaenda lini?
aisee! basi waendaji waende salama.Kama bado roho yako inaweza kurushwa na starter ya marejesho basi wewe siyo mwendaji...
Waombee tu wenzio wasafiri salama, .....naamini watakuwakilisha vizuri!!
Babu DC!!
Kwanini sasa usihairishe mambo yako yote ili uambatane naye?nimemsaka muda mrefu sana... hii ingekuwa golden chance kutia neno
Dah, umeshapata mtu wa kwenda nae? Maana mimi natarajia kuondoka kesho. Nina tiketi ya simba lxry ya kesho saa nane, kama vp tutafutanekwa wale mnaoenda tanga naombeni mmipm nina shida na ninyi
Huko ndiyo wapi?
Lakini Nasma Hamisi kidogo alipokuwa anaimba hivyo alionyesha ishara kwa kushika makalio yake,kwa hiyo na wewe unamaanisha hivyo hivyo?Oh my God... I thought nilikuwa "OFF AIR" kumbe DJ wangu kanirusha live.....
Any way niko kwenye mood ya Tanga , kwa hiyo nilikuwa najiimbia zangu " Kaona mambo yako humu,taarabu imo.....' R.I.P Nasma Kidogo...
Lakini Nasma Hamisi kidogo alipokuwa anaimba hivyo alionyesha ishara kwa kushika makalio yake,kwa hiyo na wewe unamaanisha hivyo hivyo?
ni hiyo tu unanisaidiaje sasa?
Mh!inasisimua vibaya sana!Hata mimi nilikuwa nimeyashika .... Nafurahia uumbaji wa MUNGU.....
natafuta wa kwenda nae tanga mkuu
kwa wale mnaoenda tanga naombeni mmipm nina shida na ninyi