wana jf wa dar

wana jf wa dar

Na wewe si uko Dar? Ushasahau wanaApollo walishakukana?

ahsante Asprin kwa kunisaidia hili kuna watu balaa humu mara mwanza,mara arusha mara dar.halafu wana bahati mbaya mikoa yote hiyo nina makazi mwanza nina ofisi,arusha nahamishia makazi sasa mnachat kwa pm mkishafikia hapo hao wanapotezea.
Me ndo nasemaga kuna watu fake humu ndani ashuo kibao.
Nikihamia arusha naunga ushoga na Filipo na Arushaone na wale wote wa kipindi kile.
Nikija dar nakutana na mamaa wa ukwee gfsonwin Madame B Paloma snowhite zion daughter watu8,JIWE LINALOISHI Ruttashobolwa KakaKiiza Mtambuzi na wengine kibwena.
Lakini hawa wakina Ciello mhhh
 
Last edited by a moderator:
hahahahah amu bana..shosti miye ni mobile...si wajua tz ni yetu...so popote naweza weka kambi kwa muda...ila hao wa dar ulowataja baadhi ni fekerooooooooooo watch out!!!

hahaha ungejua kuwa wote aliowataja amu hapo anawafamu kwa sura zao halisi wala usingetumia neno fekerooo!
 
Last edited by a moderator:
hawafahamu...na miye ndiyo nampa info hiyo kwani walio fekero nawajua...full usanii....

Ciello,
Usitishe watu bana, we dont hv nothing like fekero in-here.

Usanii gani ambao mtu mzima tena mwana-jf atafanyiwa bana?

Sidhani kama great thinkerz wana muda huo.
 
Last edited by a moderator:
hawafahamu...na miye ndiyo nampa info hiyo kwani walio fekero nawajua...full usanii....

ujue nina njaa sijala zaidi ya masaa 28 nakunywa juice tu.
Subiri nitafute chakula kisha nakuja.
watu8 mmudu huyu fekerooo full uzushi
 
Last edited by a moderator:
hahahahah amu unafast nn kuondoa kitambi??? kila la heri.....ila watch out gal....
ujue nina njaa sijala zaidi ya masaa 28 nakunywa juice tu.
Subiri nitafute chakula kisha nakuja.
watu8 mmudu huyu fekerooo full uzushi
 
Last edited by a moderator:
hahahahah amu bana..shosti miye ni mobile...si wajua tz ni yetu...so popote naweza weka kambi kwa muda...ila hao wa dar ulowataja baadhi ni fekerooooooooooo watch out!!!

..Ciello!!!!! Hi!!! ... would have said smthing but ...the conditions...!!
 
hahahahah amu unafast nn kuondoa kitambi??? kila la heri.....ila watch out gal....

hapana mamii mi ni ktk wale ambao kula matatizo sana.
Huwa nakula mpaka utumbo ukikangua....
Sasa niwatch out nini???embu nieleweshe
 
Last edited by a moderator:
nakutania tu..chill gal..vp shem hajambo???
hapana mamii mi ni ktk wale ambao kula matatizo sana.
Huwa nakula mpaka utumbo ukikangua....
Sasa niwatch out nini???embu nieleweshe
 
SMILE tafuta na mtu wa takukuru asiwe mbali. Haya, ukifika pale Ze city, Tanga hotel, Dolphin, Nyinda na mwisho kapumlie pale night club (>>>>>><<<<<<<<<).safari njema
 
hawafahamu...na miye ndiyo nampa info hiyo kwani walio fekero nawajua...full usanii....

dada yangu Ciello labda kama umeamua tu kuamini hivyo...last time tumekutana kwa kaka Mtambuzi tulikuwepo wote hao ambao best amu kawataja.
sasa huo u-fake sijui unatokea wapi unless una-chit na ku-chat
 
Last edited by a moderator:
ujue nina njaa sijala zaidi ya masaa 28 nakunywa juice tu.
Subiri nitafute chakula kisha nakuja.
watu8 mmudu huyu fekerooo full uzushi

hujaacha tu katabia kako ka kupenda juisi...hapo najua ushakamua kile kidumu cha litre 5 sasa hahaha!!
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa namzingua tu amu...hamtaniwi...hahahahah
dada yangu Ciello labda kama umeamua tu kuamini hivyo...last time tumekutana kwa kaka Mtambuzi tulikuwepo wote hao ambao best amu kawataja.
sasa huo u-fake sijui unatokea wapi unless una-chit na ku-chat
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa namzingua tu amu...hamtaniwi...hahahahah

hahahah haya bhana ila sijazoea sana kuona ukifanya utani....vipi lakini sikukuu zimeenda poa?
 
Last edited by a moderator:
duh kumbe niko seriaz sana eeh?? ngoja nichange 2013...sikukuu ilikuwa poa mkuu..hope it was the same 4u
hahahah haya bhana ila sijazoea sana kuona ukifanya utani....vipi lakini sikukuu zimeenda poa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom