kwa wale mnaoenda tanga naombeni mmipm nina shida na ninyi
natafuta wa kwenda nae tanga mkuu
jamani huko tanga kunani tena?mbona nasikia leo mnaitajataja tanga sana?natafuta wa kwenda nae tanga mkuu
natafuta wa kwenda nae tanga mkuu
jamani huko tanga kunani tena?mbona nasikia leo mnaitajataja tanga sana?
Kwa nini unahisi ni bahati kuambatana naye kwenda huko tanga?bahati sina
Nimefurahi kusikia hivyo,mimi nina mpango wa kwenda tanga kikazi!!mwanamke sina madhara yoyote hata
Huko ndiyo wapi?Mambo yako "huku"...
natafuta wa kwenda nae tanga mkuu
Na wewe si uko Dar? Ushasahau wanaApollo walishakukana?