Wana Jf wa Arusha wapo Salama?

Wana Jf wa Arusha wapo Salama?

Last edited by a moderator:
Mi sijakutana wala kumsikia sweetlady tokea mabomu yalipotandikwa.
Pia sijamsikia Mysoul, Mchaka Mchaka, Jackbauer Lily Flower na Preta.

Plz meeen, kama mpo fit itikeni tujue, na kama mko Selian Hospital kaeni kimya hivyohivyo, tutakuja kuwatembelea saa 8 na Azam Juice, na tutapiga 'donee' tuwahamishie Samunge!

Nipo mzima wa afya PakaJimmy....... Am sure ungekuwa unanipenda kama zamani ungeshanisikia /kukutana na mimi siku ile ile bomu lilivolipuka!

Filipo popote ulipo nimekumiss badly, fanya unipigie kabla mlipuko mwingine haujatokea ....
 
Last edited by a moderator:
Nipo mzima wa afya PakaJimmy....... Am sure ungekuwa unanipenda kama zamani ungeshanisikia /kukutana na mimi siku ile ile bomu lilivolipuka!

Filipo popote ulipo nimekumiss badly, fanya unipigie kabla mlipuko mwingine haujatokea ....
Kione kwanza!
Kinatupa presha bure kumbe kipo hai!...
Huyo Filipo unayemtaka ndio alichangisha mchango wako wa RIP, na alisema kuwa aliona live Chagonjwa akikuelekezea avocado!...Halafu bado unamuitaita hapa...unaniboa mimi! Ntasitisha huduma ya Gb ninazokurushia!
 
Niko salama na ninaendelea kuwa front kwenye shuhuli za chadema kwasababu wauaji wanaua miili tu, hawana uwezo wa kuua roho.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom