Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
yeah as long as we have a long-term plan nothing will go wrong. I miss you Filipo
Last edited by a moderator:
Pitieni pitieni ambao hawaonekani humu maana wengi wanaweza wakawa Majeruhi kufuatia mlipuko wa bomu,hatujuani kwa sura.
Hiyo red ni kujipaka damu tu, Uonekane mchinjaji kumbe muuza bucha! Ila hiyo blue imedhihirisha ukweli wa maneno yangu!
Tuko nae hapa ananisaidia kujibu hizi post!
i miss you too ma dia.. Huku kwema sijui huko?...
Vipi tena Mkuu!
Punguza hasira bana!!!!?
Baridi ya A town inatupelekesha...wewe waja lini kwetu?