Wana JF wa Arusha asanteni sana kwa upendo wenu

<font color="#800000">Mhandisi imekuja kuaje tena dah, cha ajabu leo vitufe vyote havipo hata cha kusign out, siku ya kufa nyani........</font>
<br />
<br />
mhandisi ukiona hivyo ujue ni fitna,kesi yetu tutafanyia terat lkn em niachie Fide nimuhost..
 
Weekend nzima unaenda Africafe
Hizo sehemu ni za kati kati ya week ambapo watu wana mawazo ya kazi za kesho yake

hiyo africafe vp sio pazuri sana nini?

Napigia hesabu nikitua tu iwe ndo sehemu yangu ya kwanza kusuuza koo
 
Back
Top Bottom