Wana JF wa Arusha asanteni sana kwa upendo wenu

Hahahahah alijitengenezea mwenyewe huyo ndo maana anaogopa kuja
Salama Dear za kwako
mi mzima kabisa

Si una jua tena mambo ya A - town, huku watu hawaondoki mapema sio kama Tanga waja leo............., amuulize babu Aspirin yaliyomkuta, ha ha ha ha, niko poa kabisa, dear.
 
Si una jua tena mambo ya A - town, huku watu hawaondoki mapema sio kama Tanga waja leo............., amuulize babu Aspirin yaliyomkuta, ha ha ha ha, niko poa kabisa, dear.

Wala hana haja ya kwenda mbali hapa mtu huwa hana hamu ya kuondoka ratiba zake tuu za kazi zinamkimbiza
Asante kusikia kuwa unaendelea vyema
 
Pamoja na kwamba nilikuwa tight lakini nilipata nafasi ya kufika pale sehemu inaitwa Africafe......... bonge la pahala pa kupata kahawa yaani
 
Back
Top Bottom