MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,180
Tumekusoma Kiongozi...
Maombi kwa Lowassa muhimu sana.
Maombi kwa Lowassa muhimu sana.
mtu huombewa maradhi sio utawawala
Mapenzi ya mungu ya kutuletea lowasa kuwa rais wa hawamu ya 5 yatimizwe
Ameen , na Sala zetu zipokelewe.Mungu akubariki sana na pia ambariki rais wetu kipenzi cha watanzania mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa
Mapenzi ya mungu ya kutuletea lowasa kuwa rais wa hawamu ya 5 yatimizwe
Na alaaniwe kwa kipimo kilekile yule atakayenyoosha kidole kumlaani Rais wetu wa awamu ya 5 Mh. EDWARD NGOYAI LOWASSA.
Na majibu tumeanza kuyaona waovu wameanza kupoteza kongosho na maini mmoja mmoja...

Mungu yu pamoja nasi ktk kuufikia ukombozi wa pili wa ukweli wa taifa letu tanzania chini ya rais lowasa
Mungu halazimishwiMimi nimeshapanga, Tarehe 23.10.2015, nitafunga na kukesha ili kuombea uchaguzi, pamoja na ushindi wa kishindo kwa mgombea wetu Mh.Lowassa!
Wana jamvi leo ni jumapili ya mwisho kabla ya 25.10.2015 siku ya kumpigia kura Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT kwa wakristu tuanze kumuombea leo na waislam watafanya hivyo ijumaa ijayo.
Afadhali ungetumia muda huo kumuomba Mungu uokote gunia la noti hata za 500 than kuomba kitu kisichowezekana wala kujibiwa.Wana jamvi leo ni jumapili ya mwisho kabla ya 25.10.2015 siku ya kumpigia kura Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT kwa wakristu tuanze kumuombea leo na waislam watafanya hivyo ijumaa ijayo.