Wana JF tumuombee Lowassa

Wana JF tumuombee Lowassa

Mimi simsahau katika Dua zangu za kila siku.
Tuungane katika kumuombea mzee wetu maana rafu/fitna dhidi yake/yetu zinazidi.
Lakini hakuna amshindaye Mungu,nina hakika hatoyatupa maombi yetu,kwa uwezo wake tutashinda.

Ameeeeeennnnn
 
Chaguo letu ni Lowassa. CCM ni ile ile.... Magufuli ni sawa na jeikei so this time imekula kwenu

Asante sana mkuu kwa kumpasha ukweli kwa 100%
 
Eee mungu tunakuomba uzipokee dua zetu sisi waja wako na umuinue mgombea wetu wa urais EDWARD NGOYAI LOWASA kuwa rais wetu wa hawamu ya 5
 
Mungu hana upendeleo, naamini maamuzi alishayafanya!! Kama tunavyoamini parapanda italia siku ya mwisho. Tusubiri matokeo baada ya kura na ibada. Amini yoyote anaweza kuwa Rais kati ya Lowassa au Magufuri.
 
Ee mwenyezi Mungu,
kwa unyekevu mkubwa ,
tunakuja mbelezako,
tunakuomba sisi wa tanzani ,kwamapenzi yako ,tuonyeshe kiongozi mwadilifu na mwaminifu mwenye mapenzi ya dhati kwa watanzani,mwenye nia yadhati ya kuwatumikia wa tanzania. AMINA
 
Yani fisadi tumuombee awe kiongozi thubutu!

kwan aliekuambia maguful sio fisad ni nan? Tatizo lako cjui upo kijijin sana kiasikwamba hata redio hua zinashika usiku tu lakin ngoja nikumbie maguful huyo amenunua meli chakavu kwa mabilion ya shiling na ameuza nyumba zote za watumish wa uma na amelipa makandarasi fek weng tu na amevunja nyumba za watu weng lakin fidia aliyowapa haitosh hata kununua kiwanja
 
Mungu hana upendeleo, naamini maamuzi alishayafanya!! Kama tunavyoamini parapanda italia siku ya mwisho. Tusubiri matokeo baada ya kura na ibada. Amini yoyote anaweza kuwa Rais kati ya Lowassa au Magufuri.

Uzi unasema tumuombee lowasa na siyo magufuli
 
Laana iwe juu ya Lowassa kwa tamaa zake na unafiki na alaaniwe na kila mwenye kulaani !
Tuseme .....aminaa !
 
Ee mwenyezi Mungu,
kwa unyekevu mkubwa ,
tunakuja mbelezako,
tunakuomba sisi wa tanzani ,kwamapenzi yako ,tuonyeshe kiongozi mwadilifu na mwaminifu mwenye mapenzi ya dhati kwa watanzani,mwenye nia yadhati ya kuwatumikia wa tanzania. AMINA

Hasa hasa mhe lowasa
 
Kila nafsi inatakiwa iombewe isipotee. Ndio ubinadam.

Tuwaombee wote

Mimi ila naogopa atakachokifanya kwa nchi hii ikatokea Bahati mbaya akashinda uchaguz

Na kwa kuwa mustakabali wa nchi Hii ni muhimu kuliko maisha ya mtu mmoja Mungu amfutilie mbali yeyote yule ambaye hayuko kwa manufaa ya nchi hii. Hata leo na amchukue
 
kwan aliekuambia maguful sio fisad ni nan? Tatizo lako cjui upo kijijin sana kiasikwamba hata redio hua zinashika usiku tu lakin ngoja nikumbie maguful huyo amenunua meli chakavu kwa mabilion ya shiling na ameuza nyumba zote za watumish wa uma na amelipa makandarasi fek weng tu na amevunja nyumba za watu weng lakin fidia aliyowapa haitosh hata kununua kiwanja

Kweli kabisa mkuu na huyo mtu ni wa kumuogopa sana kama ukoma
 
Tunachotakiwa kuomba ni amani ya nchi hii katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi, pia kumuomba Mungu atuongoze kuchagua viongozi bora kuanzia udiwani hadi urais.
 
Laana iwe juu ya Lowassa kwa tamaa zake na unafiki na alaaniwe na kila mwenye kulaani !
Tuseme .....aminaa !

Laana iliyokwisha anza kutua kwenye kichaka cha majizi iendelee kumiminika hata wakienda kutibiwa nje ya nchi
 
Mm cwez tena kuwaamin tena ccm niliwaamin sana lakin nimefika mwisho kama nisera wameshatudanganya pakutosha kwaiyo namwombea 2 mh lowasa awe rais wa Tanzania ijayo
 
Kila nafsi inatakiwa iombewe isipotee. Ndio ubinadam.

Tuwaombee wote

Mimi ila naogopa atakachokifanya kwa nchi hii ikatokea Bahati mbaya akashinda uchaguz

Na kwa kuwa mustakabali wa nchi Hii ni muhimu kuliko maisha ya mtu mmoja Mungu amfutilie mbali yeyote yule ambaye hayuko kwa manufaa ya nchi hii. Hata leo na amchukue

Lowasa ni kwa manufaa na matumaini ya watanzania
 
Back
Top Bottom