Wana JF tumuombee Lowassa

Wana JF tumuombee Lowassa

Nani kauza nyumba za serikali kwa nduguze?

Kuwa makini the hunter anaweza kuwa the hunted hivi karibuni tu!

Lowasa ndiyo chaguo la watanzania maana hakuna mtanzania wa kumchagua mtu anaye watisha wananchi wake kwa kupiga pushapu
 
Eeeeeh Mwenyezi Mungu naomba umlinde Rais wetu kipenzi , umjaalie nguvu ya kumaliza kampeni mapema.

Wale wote wanaomuombea mabaya uwapige kwa mapigo yako saba, uwaangamize wao na vizazi vyao bila huruma.

Naomba ulinde amani yetu uwaajalie watanzania ujasiri wa kumpigia Lowassa kura kwa wingi hata wale waliokuwa na Mawazo ya kumpigia Mzee wa Kuwait uwape pumbazo wakifika kwenye chumba cha kupigia kura na wao pia wapigie Lowassa.

Uwaajalie Busara na hekima polisi wetu, wanajeshi wetu, vyombo vyetu vya dola na tume ya uchaguzi vitende haki kwa mujibu wa sheria na utaratibu.

Tunakuomba Lowassa ndiyo awe Rais wetu wa awamu ya tano na amani itawale.

Ameen.
 
Mkuu asante sana kwa dua murua naamini mungu yupo nasi na atasikia dua zetu sisi waja wake
Ameeen
 
Eeeeeh Mwenyezi Mungu naomba umlinde Rais wetu kipenzi , umjaalie nguvu ya kumaliza kampeni mapema.

Wale wote wanaomuombea mabaya uwapige kwa mapigo yako saba, uwaangamize wao na vizazi vyao bila huruma.

Naomba ulinde amani yetu uwaajalie watanzania ujasiri wa kumpigia Lowassa kura kwa wingi hata wale waliokuwa na Mawazo ya kumpigia Mzee wa Kuwait uwape pumbazo wakifika kwenye chumba cha kupigia kura na wao pia wapigie Lowassa.

Uwaajalie Busara na hekima polisi wetu, wanajeshi wetu, vyombo vyetu vya dola na tume ya uchaguzi vitende haki kwa mujibu wa sheria na utaratibu.

Tunakuomba Lowassa ndiyo awe Rais wetu wa awamu ya tano na amani itawale.

Ameen.

Mungu akubariki sana na pia ambariki rais wetu kipenzi cha watanzania mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa
 
Attachments

  • 1445148171556.jpg
    1445148171556.jpg
    46 KB · Views: 199
Wana jamvi leo ni jumapili ya mwisho kabla ya 25.10.2015 siku ya kumpigia kura Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT kwa wakristu tuanze kumuombea leo na waislam watafanya hivyo ijumaa ijayo.

Kuna mwingine kwenye picha mumemsahau

LOWASA.jpg
 
Eeeeeh Mwenyezi Mungu naomba umlinde Rais wetu kipenzi , umjaalie nguvu ya kumaliza kampeni mapema.

Wale wote wanaomuombea mabaya uwapige kwa mapigo yako saba, uwaangamize wao na vizazi vyao bila huruma.

Naomba ulinde amani yetu uwaajalie watanzania ujasiri wa kumpigia Lowassa kura kwa wingi hata wale waliokuwa na Mawazo ya kumpigia Mzee wa Kuwait uwape pumbazo wakifika kwenye chumba cha kupigia kura na wao pia wapigie Lowassa.

Uwaajalie Busara na hekima polisi wetu, wanajeshi wetu, vyombo vyetu vya dola na tume ya uchaguzi vitende haki kwa mujibu wa sheria na utaratibu.

Tunakuomba Lowassa ndiyo awe Rais wetu wa awamu ya tano na amani itawale.

Ameen.

Dua la kuku
 
Mkoloni mweusi lazima tu atoke hata kwa mtutu
 
Mkuu mimi huwa naomba kila siku na hakika ikulu ni ya LOWASSA. Mungu atafanya njia kwani ni dhahiri anashuhudia watu wake tunaishi maisha ya ufukara wakati yeye katubariki na rasilimali za kila aina.
VIVA UKAWA!!!!
 
Amina Amina na mungu yupo nasi
 
YEHOVA atujalie afya njema wanamabadiliko wote awapige upofu wale wote wanafiki mafarisayo wazandiki wanyang'anyi
 
Back
Top Bottom