Rudia kusoma post yako, why tusimuombee Mh.Rungwe ama Mgwira, or others? Why Lowasa alone, tayari umeonyesha ubaguzi - Mungu halazimish
Alafu Wana JF?? kwa nini usiseme WANA JF WAFUASI WA LOWASSA? Alafu kwa nini usiseme MUWAOMBEE UKAWA? mmekuwa wabinafsi sana, teamlowassa mmeisahau chadema, mmesahau ukawa, ishu imekuwa personal kwa lowassa!
WENGINE SIO WAFUASI WA LOWASSA WALA UKAWA, tunamuombea uzima na afya tele mzee wetu lowassa na wagombea ubunge na udiwani wake ila TUNAOMBA PIA IKULU WAISIKIE TU TBC. EEH MUNGU IKULU HAIWAFAI.
TUNAMUOMBEA JPM AFYA NJEMA, TUNAWAOMBEA WAGOMBEA UBUNGE WAOTE WA SISIEMU AFYA NJEMA, TUNAWAOMBEA PIA AFYA NJEMA WAGOMBEA UDIWANI WA SISIEMU WOOTE NA WASHIRIKI WOOOTE WA SISIEMU WAKIWEMO WADAU WOOTE NA WAPIGA KURA WOOOOTE WA SISIEMU UZIMA NA AFYA TELE WAWEZE KWENDA KUPIGA KURA JUMAPILI IJAYO YA KUHAKIKISHA MTU NA WATU SAHIHI NDO WANAINGIA KUONGOZA NCHI, WATU HAO NI JPM NA WAGOMBEA UDIWANI NA UBUNGE WAKE, eeeh Mungu wawezeshe!
Magufuli ikulu ataiskia kupitia radio chato fm maana watanzania tumeshaamua kumchagua rais wetu kipenzi mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa
Mungu halazimishwi
Kama kufunga na kuomba ni kumlazimisha Mungu basi wewe huna dini hata nikikuita mpagani sawa tu maana kila dini, kila mwaka na wengine kwenye kila wakati mgumu wanaopitia hufunga na kumlilia Mungu alete suluhisho.
Kama demokrasia itasema Lowassa ndo rais, haina tatizo, ila cha msingi ni kuwaombea wagombea wote, sio lowassa peke yake, wanatakiwa wawe wazima wa afya, na pia ungetuombea wapiga kura wote ili tukafanikishe hili zoezi, haijalishi uko upande gani.
Kwa akili zako fupi, Lowassa ana Mungu wake spesho? Mungu wa Lowassa ndo Mungu wa hao wengine? au Lowassa ana ulemavu fulani unaomfanya aombewe zaidi ya wengine?
Ndio maana kuna OLYMPICS NA PARALYMPICS. Figure it out!
Sasa kwa nini ukp bize kuwaomba watu wamuombee? Anahitaji mkono wa ziada. Alishaenda kwa sangoma, mara kwa TJ mara kanisani, anachanganya madawa, na Mungu HATAKI vijimiungu vingine.
Kasome amri kumi za Mungu.