naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,988
- 5,503
Ndio duwa za watanzania woote
Akaaaa
Ndio duwa za watanzania woote
Kwa kweli tunampimisha mnzani Mungu!!! Pigeni kura!! Hata wa Magufur pia wanamwomba Mungu huyo huyo.
Tunamuomba mwenyezi mungu aendelee kuwapa mapigo makubwa wale woote wenye nia mbaya na mheshimiwa EDWARD NGOYAI LOWASA na awajalie nguvu na uwamuzi sahihi wa kupigia kura siku ya 25.10.2015 na kuwanyima mwelekeo wanao mpinga
Mkuu siyo tunamwombea EL tuu Mungu amtunze na kumpa afya njema, bali hata wale wanaopanga njama za kuiba na kuchakachua kura tunaomba sawa na zab 109: 8 - 15 "siku zao ziwe chache, .... kumbukumbu lao liondolewe duniani!:bange::bange: