barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Nimesema tumuombee mhesh lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa
'Umesikika', tukutane tarehe 29.
Nimesema tumuombee mhesh lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa
Kuna mamia baada ya tarehe hiyo watalikimbia jukwaa jumla.'Umesikika', tukutane tarehe 29.
#Hapakazitu! Hamna haja ya kumuombea kwani atachinjiwa baharini ambako hamna kibla!
GUBU yako kwa Zuberi Zitto imeisha au umempa 0713!Angalia siku ya kutangazwa matokeo husije jifungua pre mature
Wana jamvi leo ni jumapili ya mwisho kabla ya 25.10.2015 siku ya kumpigia kura Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT kwa wakristu tuanze kumuombea leo na waislam watafanya hivyo ijumaa ijayo.
Leo tulikuwa wote kanisani, una swali jingine?
Mapenzi ya mungu ya kutuletea lowasa kuwa rais wa hawamu ya 5 yatimizwe