Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Mi kila siku asubuhi hufanya maombi yangu.familiya na kamanda lowasa..Mungu azidi kumlinda
Tumuombee lowasa
Matusi hayaruhusiwi leo siku ya jumapili maana ni dua tu za kunuombea lowasa kushinda urais kwa kishindo kikuu
Safari hii mhamie loliondo
Hakuna rafiki ama adui wakudum katika siasa rafiki!!!!!ni sawa na kushangaa warioba kala kichapo nabado anapandq jukwaan kunad ccm!!!!!,Kumuombea Lowassa ni matusi makuu, hata Lema alitushauri tumzomee tutapata thawabu kwa Mungu
Yani fisadi tumuombee awe kiongozi thubutu!
Kweli inasikitisha kwa yaliyo tokea chato inasikitisha haswaa maana vijiji 22 ccm ilipata viwili tu!!!!Lowassa hafai kuwa Rais hata wa mtaa wacha nchi.
Jikumbushe Chato.
Ha ha haManeno Yako Yana Mpangilio Ila Hayana Uhalisia. Kama Unaushahidi Wa Huo Ufisadi Nenda Mahakama Kuu Mtuhumiwa Atakukuta Huko.