Mkuu huo ndio uamuzi sahihi na kwa wakristu leo hii tunajazana makanisani kuombea uchaguzi na kumuombea mhes EDWARD NGOYAI LOWASA kushinda kwa kishindo na kuwa rais wa JMT kwa hawamu ya 5
ombeeni Tanzania yote iwe na Amani kwani Magufuli ndio chaguo sahihi![]()
ubaguzi wa ukabila na Udini ni vitu vilivyowaponza sana CDM mmewaambukiza hata UKAWA waliotoka CCM, km kina Sumaye, Kingunge, Masha, Mgeja MUSSA ALLAN
Wana jamvi leo ni jumapili ya mwisho kabla ya 25.10.2015 siku ya kumpigia kura Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT kwa wakristu tuanze kumuombea leo na waislam watafanya hivyo ijumaa ijayo.
Mimi kila siku kabla ya kulala lazima niombee raisi wetu mtarajiwa Edward Lowasa.
Zimebaki siku 7 kabla ya uchaguzi amani ya nchi yetu ipo mikono mwa NEC. tunawaomba sana NEC msikubali kubeba laana ya watanzania tendeeni haki.
PIGA KURA LINDA KURA.
Kama kufunga na kuomba ni kumlazimisha Mungu basi wewe huna dini hata nikikuita mpagani sawa tu maana kila dini, kila mwaka na wengine kwenye kila wakati mgumu wanaopitia hufunga na kumlilia Mungu alete suluhisho.