una uhakika na maneno yako nini kimekuleta fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuundugu unapoteza nguvu zako bure hili jukwaa la kusifiana na kudanganyana.
una maanisha nini hapo kwenye redkweli nimeamini watu wamefurugwa kila kona majanga.
mkuu kwa kiswahili hii ulichiongia nacho jijini dsm bado unanuka vumbi hahahahaha ukiargue kitu zungumza taratiiiiiiiiiiiiiiiiibukama nimemnukuu visuri mbunge wa arusha mjini juu ya matumizi ya intanet
ninakubaliana naye kwamba sii wote wanaojua kutumia intanet wanajua matumizi yake,
mimi nimejitambulisha kama member wa jf sasa badala turudi kwenye point mnaanza kuropoka siyo vibaya hapo ndio mwisho wa ufahamu wenu,
una maanisha nini hapo kwenye red
hilo sio neno la kiswahili labda kimeruuuninamaanisha watu hawana kazi yani akili za watu zimejam
ninamaanisha watu hawana kazi yani akili za watu zimejam
Jam ya kupaka kwenye mikate au zile za barabarani?
Ndugu zangu wana JF nimebadili mkoa sasa ninapatikana Dar wakina Mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za Lema nitazipata toka kwenu, huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na magorofa kuporomoka, watu wangu wa Dar akiwemo Manyerere nipokeeni sasa.
Mkuu kwa style hii chitchat utaimudu? Nakushauri kwa sasa ukavinjari jukwaa la siasa ukishuka munkari rudi ubaazi huu,huku chitchat aliyesoma kutuzidi wote anaitwa bi Kongosho aka mrs zombie na elimu yake ni darasa la nne la zamani ambalo ni sawasawa na fom foo ya sasa,gotcha?
Ndugu zangu wana JF nimebadili mkoa sasa ninapatikana Dar wakina Mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za Lema nitazipata toka kwenu, huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na magorofa kuporomoka, watu wangu wa Dar akiwemo Manyerere nipokeeni sasa.
mnyinda kamanda wa cdm toka arusha nasasa ninapatikana dar
Ndugu zangu wana JF nimebadili mkoa sasa ninapatikana Dar wakina Mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za Lema nitazipata toka kwenu, huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na magorofa kuporomoka, watu wangu wa Dar akiwemo Manyerere nipokeeni sasa.
mnyinda;6312098 "wamefurugwa" [/QUOTE said:we ni wa nguo nyekundu?
Dar wilaya gn mkuu?