Wana JF nimebadilisha mkoa sasa niko Dar,

Wana JF nimebadilisha mkoa sasa niko Dar,

Mkuu kwa style hii chitchat utaimudu? Nakushauri kwa sasa ukavinjari jukwaa la siasa ukishuka munkari rudi ubaazi huu,huku chitchat aliyesoma kutuzidi wote anaitwa bi Kongosho aka mrs zombie na elimu yake ni darasa la nne la zamani ambalo ni sawasawa na fom foo ya sasa,gotcha?

haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaahahahhahaahahahahahahah haki amungu nimecheka kwa sauti hhahahahahahahahahahahahah na yule jamaa anaitwa Kiranga a.k.a chitchat dictionary ndio anatutafsiriaga kiinjereza mmweeeeee
mtaanzishiwa uzi na kilaza fulani ambaye haelewi maana ya cc, hata jina lake nimemsahau.....
mdogo wangu Erickb52 naomba unikumbushe yule jamaa anaitwa nani vile?
halafu dadako nilivyoboreka siku ile hata kukumbuka kukuambia "ASANTE" kwa kununua kesi sikufanya...... hope umenisamehe dadako...... "WHAT WOULD I HAVE DONE WITHOUT YOU?"
Usengwile sana mlongo wangu Erickb52.......
mtafute snowhite kwa tafsiri, lol!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu wana JF nimebadili mkoa sasa ninapatikana Dar wakina Mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za Lema nitazipata toka kwenu, huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na magorofa kuporomoka, watu wangu wa Dar akiwemo Manyerere nipokeeni sasa.

Kama kweli we ni kamanda wa chadema, na kama kweli unakubali kuwa DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE NI UWOGA mbona ulijificha hatukujua kama ulikuwepo? We mwoga aisee kha! Haya bana usiendelee kujificha huko
 
Kama kweli we ni kamanda wa chadema, na kama kweli unakubali kuwa DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE NI UWOGA mbona ulijificha hatukujua kama ulikuwepo? We mwoga aisee kha! Haya bana usiendelee kujificha huko

mbona sijajificha Mungi@tulikuwa pamoja hata kwa habari ya mahakani sema wewe ni kiongozi wangu,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom