Wana JF nimebadilisha mkoa sasa niko Dar,

mnyinda

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
277
Reaction score
66
Ndugu zangu wana JF nimebadili mkoa sasa ninapatikana Dar wakina Mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za Lema nitazipata toka kwenu, huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na magorofa kuporomoka, watu wangu wa Dar akiwemo Manyerere nipokeeni sasa.
 
Ndugu zangu wana jf nimebadili mkoa sasa ninapatikana dar wakina mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za lema nitazipata toka kwenu,
huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na magorofa kuporomoka,
watu wangu wa dar akiwemo manyerere nipokeeni sasa,
Mimi nipo Dar nijaalie jinsia yako plz, (for records purpose)
 
ndugu zangu wana jf nimebadili mkoa sasa ninapatikana dar wakina mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za lema nitazipata toka kwenu,
huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na magorofa kuporomoka,
watu wangu wa dar akiwemo manyerere nipokeeni sasa,
unajua mabwepande ilipo mkuu!!!
 
Kama nimemnukuu visuri mbunge wa Arusha mjini juu ya matumizi ya intanet
ninakubaliana naye kwamba sii wote wanaojua kutumia intanet wanajua matumizi yake,
mimi nimejitambulisha kama member wa jf sasa badala turudi kwenye point mnaanza kuropoka siyo vibaya hapo ndio mwisho wa ufahamu wenu,
 
Mkuu kwa style hii chitchat utaimudu? Nakushauri kwa sasa ukavinjari jukwaa la siasa ukishuka munkari rudi ubaazi huu,huku chitchat aliyesoma kutuzidi wote anaitwa bi Kongosho aka mrs zombie na elimu yake ni darasa la nne la zamani ambalo ni sawasawa na fom foo ya sasa,gotcha?
 
Last edited by a moderator:
mkuu kwa style hii chitchat utaimudu? Nakushauri kwa sasa ukavinjari jukwaa la siasa ukishuka munkari rudi ubaazi huu,huku chitchat aliyesoma kutuzidi wote anaitwa bi kongosho aka mrs zombie na elimu yake ni darasa la nne la zamani ambalo ni sawasawa na fom foo ya sasa,gotcha?
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaahahahhahaahahahahahahah haki amungu nimecheka kwa sauti hhahahahahahahahahahahahah na yule jamaa anaitwa Kiranga a.k.a chitchat dictionary ndio anatutafsiriaga kiinjereza mmweeeeee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa style hii chitchat utaimudu? Nakushauri kwa sasa ukavinjari jukwaa la siasa ukishuka munkari rudi ubaazi huu,huku chitchat aliyesoma kutuzidi wote anaitwa bi Kongosho aka mrs zombie na elimu yake ni darasa la nne la zamani ambalo ni sawasawa na fom foo ya sasa,gotcha?

sivyo bishanga nimejieleza visuri sana nanilitarajia kupata aida pongezi au maelekezo kutokana na jiji hili sasa badala yake imekuwa nisivyo tarajia.
 
Last edited by a moderator:
Nilisoma hadi sekendare

Utaniweza wewe?

Mkuu kwa style hii chitchat utaimudu? Nakushauri kwa sasa ukavinjari jukwaa la siasa ukishuka munkari rudi ubaazi huu,huku chitchat aliyesoma kutuzidi wote anaitwa bi Kongosho aka mrs zombie na elimu yake ni darasa la nne la zamani ambalo ni sawasawa na fom foo ya sasa,gotcha?
 
Pongezi kwa lipi?

Hivi unaweza bashiri akili za wanachitchat??

sivyo bishanga nimejieleza visuri sana nanilitarajia kupata aida pongezi au maelekezo kutokana na jiji hili sasa badala yake imekuwa nisivyo tarajia.
 
Kama huna habari mie ndio Mwalimu wake
Kama una wivu 'olewa na Bishanga'
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaahahahhahaahahahahahahah haki amungu nimecheka kwa sauti hhahahahahahahahahahahahah na yule jamaa anaitwa Kiranga a.k.a chitchat dictionary ndio anatutafsiriaga kiinjereza mmweeeeee
 
Last edited by a moderator:
sivyo bishanga nimejieleza visuri sana nanilitarajia kupata aida pongezi au maelekezo kutokana na jiji hili sasa badala yake imekuwa nisivyo tarajia.

Ndugu unapoteza nguvu zako bure hili jukwaa la kusifiana na kudanganyana.
 
Kweli nimeamini watu wamefurugwa kila kona majanga.
 
Back
Top Bottom