Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!

Hongera kura zinapigwa na nani?kama ni sisi umepita tunataka tuwe na mwakilishi wa great thinkers wa Jamii

Wasiwasi wangu ni kama wanapiga wabunge hapo sasa nina mambo mawili
1 . Baadhi ya wabunge ni wadau wa jamii forum tuwatumie hao Kwenye kampaini kushawishi engine

2. Powerful people ndani ya forum watusaidie kutumia umarufu wao kumnadi mwana jamii forum wetu
Mr.Mello angazia hili ni mafanikio ya forum yetu poa kama tutapata mwakilishi wa nchi kindakindaki wa forum

Mayala si kama wengine walio wabunge na mawaziri yeye zao halisi la jamii forum.. .HONGERA SAANA YOU HAVE MY WILL KEEP GOING... ..
 
Mbali na tofauti za hapa na pale, kwenye jambo hili nakutakia kila lenye heri na baraka tele. Ukang’ae vyema na uonekane bora miongoni mwa wote

Tafadhali, utakapofanikiwa kwenye jambo hili, usibadilike jaribu kuwa kama huyu Paskali aliyeandika uzi huu na usiwe yule Paskali “maandazi” asante na safari njema
 
Back
Top Bottom