Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,678
- 167,638
Kesho by saa mbili ntakuwa tayari nshafika Mtwara. Naombeni kampani yenu
Niko NTWARA tayari, jioni ntakuwepo mitaa ya ShootersSaa mbili ya asubui au Usiku
"Vox populi Vox dei"
Kesho by saa mbili ntakuwa tayari nshafika Mtwara. Naombeni kampani yenu
ya dar yashakushinda walikimbia jiiji waenda huko angalia wasikuchanje chalechale ukabaki na makovu
Nimekutana na jamaa wako na majembe yao wanachimba gesi