Nawashukuruni kwa mapokezi mazuri mliyonipa dah hata siamini yaani nyie ni mfano wa kuigwa Mzee wa mpango shukurani BW Barikiwa PJ Sante sana Sahara voice thanx Mzee wa Upekuzi thanx na wengine wote shukrani sana
kumbe wana JF wa Arusha wakarimu sana!
Nawashukuruni kwa mapokezi mazuri mliyonipa dah hata siamini yaani nyie ni mfano wa kuigwa Mzee wa mpango shukurani BW Barikiwa PJ Sante sana Sahara voice thanx Mzee wa Upekuzi thanx na wengine wote shukrani sana
siku unakuja Katavi uniPM......
nimesikitika sana kukukosa.....taarifa nilipata lakini mambo ya j2 unajua tena.....natumaini salamu zangu ulipata na next tym ukija tena nitakuwa wa kwanza kukulaki
Nawashukuruni kwa mapokezi mazuri mliyonipa dah hata siamini yaani nyie ni mfano wa kuigwa Mzee wa mpango shukurani BW Barikiwa PJ Sante sana Sahara voice thanx Mzee wa Upekuzi thanx na wengine wote shukrani sana
Mambo ya Arusha mazito mno hata kuelezea nashindwa