Wana JF Arusha Asanteni sana

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Nawashukuruni kwa mapokezi mazuri mliyonipa dah hata siamini yaani nyie ni mfano wa kuigwa Mzee wa mpango shukurani BW Barikiwa PJ Sante sana Sahara voice thanx Mzee wa Upekuzi thanx na wengine wote shukrani sana
 
Mkuu mbona kama umekuja Ar kinyakimya!!? Sio kawaida yetu mgeni kupokelewa na member wachache hivyo, tena wengine hatuna taarifa. Pole sana. Next time tutaarifu wote.
 
nimesikitika sana kukukosa.....taarifa nilipata lakini mambo ya j2 unajua tena.....natumaini salamu zangu ulipata na next tym ukija tena nitakuwa wa kwanza kukulaki
 
Dah pole sana nitatoa taarifa mapema
 
Hao walokupoke uliwa PM ndo maana wamekupokea hao tu. Ungetoa taarifa tungejipanga pale stand kukupokea kama mbunge vile. Any way karibu sana.
 
Nawashukuruni kwa mapokezi mazuri mliyonipa dah hata siamini yaani nyie ni mfano wa kuigwa Mzee wa mpango shukurani BW Barikiwa PJ Sante sana Sahara voice thanx Mzee wa Upekuzi thanx na wengine wote shukrani sana

Shemeji ulipelekwa kwa mromboo? Siku nyingine uniambie nikusindikize, mambo ya arusha ni makubwa si kipolepole.
 
nimesikitika sana kukukosa.....taarifa nilipata lakini mambo ya j2 unajua tena.....natumaini salamu zangu ulipata na next tym ukija tena nitakuwa wa kwanza kukulaki

Mh! Mie nakuja Jtano naomba uje kunilaki aisee!
 
Nawashukuruni kwa mapokezi mazuri mliyonipa dah hata siamini yaani nyie ni mfano wa kuigwa Mzee wa mpango shukurani BW Barikiwa PJ Sante sana Sahara voice thanx Mzee wa Upekuzi thanx na wengine wote shukrani sana

Tehe tehe ulienda umevaa kininja kama avatar yako? Njoo na dar es salaam basi! lol. hujanitumia mchango wa JE saccos dadake. Fanya mambo basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom