Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
kumjua ama kutomjua mtu humu kwangu haina shida mimi ni yuleyule wa jana na leo ila kesho ntakuja kivingine... simjui mtu humu na hata ningemjua bado ningekua mimi... yote sawa
Asante
kumjua ama kutomjua mtu humu kwangu haina shida mimi ni yuleyule wa jana na leo ila kesho ntakuja kivingine... simjui mtu humu na hata ningemjua bado ningekua mimi... yote sawa
Hakuna unachokijua
U see!! Me kwa SHE wala humcheleweshi.
nimewafuma
Nilipata Binti wa Kitanga kanifungia ndani, ni ndugu yake MANIShemeji umenichunia sana
Wewe si kuna kipindi ulihitalafiana na member humu baadaye ukapokea kipigo au nimesahau?
Mkuu haya mambo yapo MMU achana na hilo jukwaa la wazinzi
yaaaah.......aongeze juhudi ya kupost tu.....automatically atafahamiana na watu......everything starts at ziro theo hata hao unaowaona wanatajwatajwa walianza na sifuri...najua shida yako ni kutajwa tu usogope....
karibu wewe ni she/he !?
nipe # nikutumie whatsapp..
She......
tuombe radhi bwashee huu siyo ustaarabu.
Ni kweli mkuu kuna member humu wameshakuja na hoja za kulalamika kupokea kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana lakini chanzo unakuta ni shambulio lilopangwa na member wa JF mwenzio uliyepanga kukutana naye. Mi sitaki kabisa na sitajuana mtu humu
Nilipata Binti wa Kitanga kanifungia ndani, ni ndugu yake MANI
Mi mbona sikujuii wewe hebu fanya makeke nikuchungulieeepooo banaaa
Fanya lolote ha ha ha ha nimekumiss ujue
mi nahitaji mume kipofu...
nikifahamiana na wewe nahama mtaa..
She......