Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
umekaguliwa....?
Jkute thomaso..itakagua mpaka vsvo kagulika.
umekaguliwa....?
Jamani mnaturusha roho namna hii.....!Hofu toa laazizi me mzima miss u!!!
haina tatizo kabisa najuana na member wawili watatu na sijaona shida yoyote
Please, include me in the list...,
hahahaha kuwa rafiki yangu kwanza lol
Sawa! Lets get started........
Jkute thomaso..itakagua mpaka vsvo kagulika.
hakuna kisichokaguliwa....
Wa kwanza ni mimi. Nahisi kama nitakosa uhuru wa kuchangia. Kama na wewe upo toa sababu kwa nini hutaki kujuana na member wa JF.
ok you are welcome
Asante! But so quite.....!
wewe nani akutafute kukupiga wewe kiluilui tu bora hata ungekuwa kidagaa! wewe cha kukuogofya ni kuchukua wake za watu tu, kama unachukua wake za watu kweli utapigwa, na mimi nasema wakupige tu.
Wala hakuna tatizo lolote katika kufahamiana humu, punguza uoga
Asante!