Wana JF ambao hawajuani na MEMBER yeyote JF

Wana JF ambao hawajuani na MEMBER yeyote JF

everything starts at ziro theo hata hao unaowaona wanatajwatajwa walianza na sifuri...najua shida yako ni kutajwa tu usogope....
 
Nimeshaonana na watu humu mostly kwa biashara na bado naendelea kucoment nitakavyo,utakosaje uhuru wa kusema kwa kuangalia eti fulani ananifahamu!!
Kikubwa hapo utakua unausema uongo hivyo unaogopa kuumbuliwa.
 
Hata mimi simjui mtu nikiingia humu nasoma thread yoyote ikinigusa na comment isiponigusa nasoma comment za watu unaweza kuuliza swali kwa yeyote aliyecomment au kujibu aliyeuliza
 
thread yako haina mashiko wala msingi wowote, mbona wapo verified user humu kwa mdogo kama Yericko nyerere na William malecela? mbona wanachangia full kujiachia?

no research no data no rights to speak.

Kunahitajika research gani mtu kutaja kitu kinachomhusu jamani, ukimsoma jamaa ameseme yeye kama yeye anaona kama akijuana na watu atakosa uhuru, na hajamsemea mtu kwa nini hataki kujuana na mtu mwingine, isipokua kauliza kama yupo naye atoe sababu zake.

Mimi naungana na mwanzisha thread kwa sababu ilibidi nibadili ID baada ya mtu ofisini kuijua ID yangu, halafu akawa anapenda kunifanyia personal attack, nikiandika kitu lazima akichallenge hata kama hana point, kuanza kuambiana mambo ya ofisini humu JF, nikaona tabu ya nini.
 
Tunajuana tu full, haitupi shida sisi twakoment tinavyotaka hebu acha uoga, mi kuna mwanaJF nilikuwa namponda sana sasa kuna siku kuna mazingira yakatukutanisha mtaani tukafahamiana, then after ilikuwa ni kicheko tu kukumbushiana battle ya JF ilivyo so usiogope kwani wanaJF wote ni ndugu wa familia moja.
 
Wengi wao wanajisifu maisha ya high class kumbe kajamba nani tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom