Wa kwanza ni mimi. Nahisi kama nitakosa uhuru wa kuchangia. Kama na wewe upo toa sababu kwa nini hutaki kujuana na member wa JF.
Siri ni ya mtu mmoja; mtu mwingine akisha jua identity yako ni rahisi kuwa compromised na kukusaliti kwa wale wasiopenda comments zako humu janvini na wanaweza kukuangamiza!! Sasa kama wewe unauita huo ni woga shauri lako, you are entitled to your views BUT remember " to evade a blow is not cowardice"!!!!