Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,923
- 110,202
mambo gani tena? na huko cc ndiyo wapi?
chitchat.
mambo gani tena? na huko cc ndiyo wapi?
Defensive mechanism ya namna ipi ndugu?
Una maana ya mimi mchawi?
Mimi ni mtumishi ndugu nitakushushia neno huko uliko.
tatizo unapenda uongo na nishakustukia mtu amabe hapendi kujulikana ana maisha ya ungo hapa ndani na nyuzi za uongo oooh
punguza dhambi mkuu
mi sjambo asee hofu kwako!
Kuna tatizo!!!!!
Ungo? We masai wewe!
Huhuhuuu! Love you!
Mumeanza mambo yenu, nendeni CC.
Tunajuana sana mpaka wengine wameoana
Na hatuogopi kucomment
Mimi si muhogopi mtu humu ndani
Hao uliowataja wanadefensive mechanism zinazowasaidia ndiyo maana wanauhuru wa kukoment wanavyotaka
hujui unachokiongea.