Wana JF ambao hawajuani na MEMBER yeyote JF

Wana JF ambao hawajuani na MEMBER yeyote JF

waambie kabisa tunafahamiana na hakuna tatizo....sehemu ya kunichana unanichana laivu bila kingamuzi ha ha ha ha

umeona eeeh nina rafiki zangu wa damu wananifahamu nje ndani
 
Tunachukiana kwasababu tunaogopana' tunaogopana kwasababu hatujajuana' hatujuani kwasababu tunatengana. Dunia ni nzuri' walimwengu hawana maana!
Ngosha The Don!!!
 
kumjua ama kutomjua mtu humu kwangu haina shida mimi ni yuleyule wa jana na leo ila kesho ntakuja kivingine... simjui mtu humu na hata ningemjua bado ningekua mimi... yote sawa
 
hizi mambo zenu za mahaba peleka cc,mmu au pm co unadandia thread za watu na kuweka mambo yenu,haka katabia hovyo sana na kanafanywa na watu hovyo sana kama nyinyi

hahahaa, we ukikutana na mkeo njiani haumsalimii kwa sababu kuna watu?!..we wa ajabu kweli!
 
S kwel.mbna mpaka wengne wanafkia hatua ya kuanzsha mahusiano humu humu Jf...ulza then nena,ila kwa hl umetaka kudanganya raia
 
NAUNGA MKONO HOJA:
kujuana kupo na ukipenda zaidi kutambulika jichanganye kwenye koment.Ila sana sana kwenye zile za mapenzi kwani ndio pendwa sana .
Lakini jf wange anzisha utaratibu mpya kufahamiana na wenye mashiko kwa kila mmoja anae jiunga.
ni maoni yangu washkaji.
 
S kwel.mbna mpaka wengne wanafkia hatua ya kuanzsha mahusiano humu humu Jf...ulza then nena,ila kwa hl umetaka kudanganya raia

Pamoja na hivyo, be careful epukana na mtu anayelazimisha kukujua. Hasa ID za KE ukiona inakukomalia na humjui pita mbali naye
 
Pamoja na hivyo, be careful usitake epukana na mtu anayelazimisha kukujua. Mke/mme ameshindwa kumpata huko anakoishi? Wapo wa kweli lakini wengi kwenye suala la mahusiano ni waharibufu

Heee!!! Sasa hayo n makubaliano yao.wameona kla mtu anamfaa mwenzie wakapendana.but source ya uhusiano wao n JF
 
siwajui, hawanijui, atakanizika simjui!
 
Back
Top Bottom