min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,554
- 168,624
de Gunner nimeona reply yako , unasema mimi ni daktari nisiye na kitu , nikitoka kazini napitia bar kulewa tu , ndio nasumbua jf🤣
Mimi kweli asili yangu ni nurse, mimi ni muuguzi na mkunga , MD ndio nimeanza kusoma juzi tu , kwa sababu nilipata gs f tu , same boys kipindi hicho😅
Kitu kinaniingizia madola ya pesa za kutisha mpaka sasa ni midwife & nursing , hizi fani hii ndio tunakimbiza kwa pesa sasa hasa kimataifa , na ukiwa umetokea afrika acha kukaaa kifala, diaspora wa na mamana hii hawafuki 20 kwa Tanzania.