Wana Chit chat namtafuta wa kuniliwaza

Wana Chit chat namtafuta wa kuniliwaza

mmmmmmmhhhhhhhh hiyo dialog ya preta nahisi hata huyu makamuzi kaishiwa pozi mijibu mifupi soo kweli lazima uishiwe pozi..
wasalaam wanaCC!
 
Hahaha "Mtoto wa mkulima" alihusika sio...
Daddy is doing just great....ila ndio busy day kama kawaida just resumed work...
How bout ur side princess???

Prime Minister alihusika sana hapa....

Mornie Daddy... hows u today?
 
Hahaha "Mtoto wa mkulima" alihusika sio...
Daddy is doing just great....ila ndio busy day kama kawaida just resumed work...
How bout ur side princess???

Niko poa saaana Daddy... plz hooks me up mummy... Luv ya ol!!!!!
 
Nilikuwa bize kufuatilia mambo fulani ya ile timu yetu ya Tanga, hata nikashindwa kwenda kutazama AFCON bwana?
Hayaa we jamaa, ulipotelea wapi!? au ndo ulikuwa unachakata mchakato wa kuhamia digitali, welcome back jomba,
 
Back
Top Bottom