Wana Chit chat namtafuta wa kuniliwaza

Wana Chit chat namtafuta wa kuniliwaza

Makamuzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
1,155
Reaction score
264
Habari wana chitchat.
Nimekuwa mfutiliaji sana na mshiriki wa JF hasa jukwaa la siasa na mara chache nimekuwa nikiingia hapa .
So kupitia hapa namtafuta mwanachitchat mdada wa kuniliwaza japo nammezea mate preta...lol!
 
Sema mpenzi......unataka nini la aziz..........?
 
Haya maongezi mbona yamekua mafupi???...hapa nahisi kuna mtu alimuibukia mwenzake kwenye server
 
He he.......hiyo ndio habari ya mujini.......
 
Back
Top Bottom