Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
teh teh teh. come this way mamito... me like u ivo ivo.
intelligent inaf to kno u can neva b dumb. mwaaaaaah.
You got that right..............:rockon:
Elizabeth Dominic, mi sijajua kama Erotica ana twiraaa....kama vipi na mimi nimfolo....lolSuweeet.............mi gonna follow follow u lakini usije kasirika............ntakugandaje?
Elizabeth Dominic, mi sijajua kama Erotica ana twiraaa....kama vipi na mimi nimfolo....lol
Kaizer wangu..........mengi mazuri i'm sure you got lakini please refer heading ya hii thread keyword ni UDHAIFU..........so in the words of John Mnyika mimi nasema Kaizer ni mwana chitchat dhaifu no pun intended.......lol......hapo kwenye udhaifu niachie mimi tuendelee kusasambuanais that the only 'righteous' thing that I got, Elizabeth Dominic? Thank you though
Teniyaaa! Chezeya twiraaaa weye please do follow ...................
eeeh makubwa ngoja kamata hii
Chitchat daily
Hatimaye Kaizer aitwa mwanachitchat mdhaifu
Habari kamili mfolo Kaizer #Udhaif
- Ni kufuatia kauli ya mnyika Bungeni
[* Elizabeth Dominic amtaka arudi kwen mstari na udhaifu wake- Amtaka waendelee kusasambuana
- Yeye akana, amwomba Erotica aokoe jahazi
- Erickb52 afurahia, asema "Mungu kanilipia"
So Kaizer na Elizabeth Dominic tunamfollow Erotica kwen twira yake.....
Hehehe muda si mrefu humu utasikia Kaizer dhaifu....kamoja tu hoii anahema utadhani alikuwa mbio za vijiti loleeeh makubwa ngoja kamata hii
Chitchat daily
Hatimaye Kaizer aitwa mwanachitchat mdhaifu
Habari kamili mfolo Kaizer #Udhaif
- Ni kufuatia kauli ya mnyika Bungeni
- Elizabeth Dominic amtaka arudi kwen mstari na udhaifu wake
- Amtaka waendelee kusasambuana
- Yeye akana, amwomba Erotica aokoe jahazi
- Erickb52 afurahia, asema "Mungu kanilipia"
Itauza kweli..............halafu............
Elizabeth Dominic Ajibu mapigo ya Kaizer
Habari Kamili folo kwenye ukurasa wake wa twiraa na fesibuku ...........
- Asema kama kukimbilia kuchafuliana kwenye Magazeti ya Udaku si Udhaifu yeye ana maneno zaidi
- Aamua kujiunga mtandao wa twiraa kujiimarisha zaidi
[* Erotica ashindwa kusuluhisha.............
teh na ndo jitahidi
Chitchat bynight Kaizer na Elizabeth Dominic sasa kusuluhishwa 'usiku'
Habari kamili wafollow #kaizer@Elizabeth Dominic
- Ni kufuati wote kukiri 'udhaifu' wa 'vyama' vyao
- wenyewe waruka kimanga, wavunja kamera ya mwandishi
- Erotica aibuka, asema 'ni upepo tu utapita'
- wanachitchat wawashangaa
Mentor anacheat mtu koz kuna kitu anamiss kwa mpz wake na anafikiri anaweza kipata nje,ama amevutiwa na kitu nje ambacho mpz wake hana,au aliko hana raha kila siku karaha so anaamua kujipatia kipoozeo nje,sababu ni nyingi na wengine ni tamaa tu za mwili tu ivo hakuna formula maalumu ya kucheatdon't cheat in a relationship..if u r not happy then just leave CUTE, kila nikitafakari maneno haya nabaki na maswali mengi, hivi watu hu-cheat coz they arent happy in the relationships they are!?? sijapata jibu...
Mentor anacheat mtu koz kuna kitu anamiss kwa mpz wake na anafikiri anaweza kipata nje,ama amevutiwa na kitu nje ambacho mpz wake hana,au aliko hana raha kila siku karaha so anaamua kujipatia kipoozeo nje,sababu ni nyingi na wengine ni tamaa tu za mwili tu ivo hakuna formula maalumu ya kucheat
hhahahahah Erickb52 yaaani sikunzima sijacheka kama leo...kumbe upo kwen probation ya Amyner afu unajifanya kukumbukia ya BADILI TABIA sio... kule chini naona watakupa umodereta