Usiwe na wasi wasi; hawa ndio waganga njaa wengi waliomo ndnai ya CCM. Wataibuka wengi sana kipindi hiki ambacho CCM inarudi kwenye mfumo wake wa ulaji na uganga njaa. Juzi tu umesikia Nyarandu karudi CCM; utawasikia wengi wa "kukosoa" CCM ya zamani ambamo wao wenyewe walikuwa wanachama, na wale waliohamia kwa jirani ila wakia mguu mmoja ndani na mguu mmja nje.Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.
Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.
Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.
Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.
Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.
Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.
Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?
Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Mnafiki mkubwa,mbona hayo hakuyasema siku za nyuma, mbona hakusema kuhusu mafisadi waliofanya mali za CCM ni mali zao, tunjua ni mlamba viatu wa Ri1, safari hii mtatumika sana kama Dume kon...muMjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.
Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.
Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.
Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.
Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.
Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.
Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?
Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Nani kasema ni chama kidogo?CCM ni chama kikubwa!
Mkuu ukiona maumivu yanazidi basi meza panadol maana ndiyo game yenyewe ipo dakika ya 5 tu kipindi cha kwamza.Mnafiki mkubwa,mbona hayo hakuyasema siku za nyuma, mbona hakusema kuhusu mafisadi waliofanya mali za CCM ni mali zao, tunjua ni mlamba viatu wa Ri1, safari hii mtatumika sana kama Dume kon...mu
Wanaccm hawaachiani Maji ya kunywa mezani - KikweteMjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.
Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.
Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.
Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.
Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.
Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.
Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?
Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Naona wewe ni kati ya watu aliowasema rais kuwa mnataka kulichafua taifa kwa maneno ambayo hamna ushahidi nayo.Usiwe na wasi wasi; hawa ndio waganga njaa wengi waliomo ndnai ya CCM. Wataibuka wengi sana kipindi hiki ambacho CCM inarudi kwenye mfumo wake wa ulaji na uganga njaa. Juzi tu umesikia Nyarandu karudi CCM; utawasikia wengi wa "kukosoa" CCM ya zamani ambamo wao wenyewe walikuwa wanachama, na wale waliohamia kwa jirani ila wakia mguu mmoja ndani na mguu mmja nje.
Nadhani ile network ya kumwua Magufuli ilikuwa ni pana sana. Kwa siku za mbele, ulinzi wa afya ya raisi usiwe kwa askari wenye bunduki tu; sindano moja ni silaha kubwa sana kuliko kombora.
Nguvu atoe wapi Sasahivi?Kama ni ukweli basi Dk. Bashiru ana nguvu sana Bungeni.
... not too late to make a brighter future for our children!Ukweli wanaouongea sasa, ungekuwa na impact sana nyakati zile. Kwasasa tunawaona wanafki tu.
Mugambo wanaruka na kukanyagana.....wanaruka kinyama....Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.
Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.
Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.
Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.
Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.
Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.
Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?
Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Mimi nilifikiri kuna kikao kiliitishwa kwa ajili ya kumujadiri Dk. Bashiru wakati hiyo si kweli - sasa mleta taarifa hizi anaposema wana CCM walimtolea uvivu wananaanisha nini kama sio mtu mmoja tu mwenye chuki binafsi analeta adithi za kufikirika tu zenye lengo la kumwaribia sifa Bashiru - wako wengi hawa na crusade yao against Bashiru hiko well organised!!!Hivi ni Bashiru aliyefanya hivyo au JPM?
Unasema mambo gani lakini - kama Bashiru maisha yake yote angekuwa anategemea binadamu wenzake basi shahada ya PhD angekuwa anaisikia Redioni tu, hana - wakati mwigine tujifunze kubakiza hakiba ya maneno.Leo hii anajuta sana kumtegemea binadamu mwenzake.