Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

Umeelewa hata nilichosema ama umekuja na matamanio yako? Tafuta popote nilipowahi kumsifia Nyalandu akiwa Ccm, na alivyokuja cdm, na sasa karudi ccm. Pitia nyuzi zangu wakati Nyalandu alipokuwa anaomba nafasi kugombea urais kupitia cdm kama niliwahi kumuunga mkono, zaidi ya kusema ni mchafu aliyekosana na Magufuli huko ccm. Sasa leo nitasemaje ni msaliti wakati hata uwepo wake cdm nilikuwa siuafiki? Kwangu mimi kurudi ccm kwa Nyalandu ni kuvuja kwa pakacha. Jitahidi unaponiquote usinijie na maoni ya bendera fuata upepo.
sasa kama hukuafiki ujio wake imani na chama chako au uongozi wake zinatokana na nini!!!

sikupangii itikadi,nataka ujue unachosimamia.
 
Bila huruma aliwakata wagombea ubunge Jimbo la shinyanga mjini wakiongozwa na Masele mwenye kura karibia 300 halafu akapewa nafasi mtu wa mwisho mwenye kura 7 (Patrobas Katambi).

CCM hoyeee! Lkn asilaumiwe Dk Bashiru bali mwendazake.
Daaaa kumbe Katambi alipata kura 7 tu?
 
Kwani ccm hizo mali walimilikishwa nani mara baada ya nchi kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Unapata wapi ujasili wa kuziita mali za watamzania kuwa ni mali za ccm?

Haya ni maswali ambayo hayatabadili chochote kuhusu registered owner wa hizo mali.
 
Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.

CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.

Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokiamini na kulinda maslahi yake binafsi na ya aliyemchagua.

Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.

Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.

Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.

Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.

Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?

Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.

Wakati wa kumshitaki na kumnyonga magu utakapofika na bashiri atanyongwa pia, tusubiri tu kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom