Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

SEMENI TUUU KWAMBA NYIE MAKANJANJA YA HAPO UFIPANI NDO MNAHANGAIKA BILA KULALA MKIDHANI CHAMA DUME CCM KITABABAIKAA. MNATUNGA PROPAGANDA WENYEWEE HALAFU MNAJIPOST WENYEWEE. MTAPATA TAABU SAAANAA.
Tusubiri Nyalandu kesho atasema nini Radio Clouds. Mungu amjalie afya njema na uzima kwa ajili ya Kesho asubuhi.
 
Wewe fala tu unafikiri utarudi tena kwenye kuuza madawa? Sahau kabisa jaribu tukuone ujue kama Serikali ya Magu ipo ama la! Wenzako wamejaribu huku Lindi umesikia kilichowakuta? Kuuza madawa hapa TZ sasa ni ndoto hutaweza mkuu!!

Wala hata biashara yenyewe siifahamu. Na kwa taarifa yako ningetaka kuuza madawa ningeifagilia ccm, maana wao ndio wana ubavu wa kufanya hiyo biashara kwani ni wafadhili wa ccm.
 
Sasa mbona machichiemu yamerudia makosa yale yale ya kutokutenganisha kofia (mwenyekigoda na mfalme). Hayajajifunza kwa mwendazake?
 
Hivi ni Bashiru aliyefanya hivyo au JPM?
Wana list yao nadhani wanayoifuata....! Wanasahau kuwa wao ndiyo walieneza maneno ya "one man show". Mungu tusaidie Tanzania haki iimarike badala ya kudhoofika. Amen.
 
Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.

CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.

Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.

Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.

Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.

Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.

Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.

Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?

Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
wewe na huyu boya hamna lolote zaidi ya unafiki.
 
Tunaposema kuwa Magu alikuwa dhalimu kuna watu walikuwa wanabisha. Aliyoyafanya Magu kwenye demokrasia ya nchi hii ni ushenzi wa hali ya juu. Watu wako kimya lakini yule mtu alikuwa ni shetani mkubwa.
Mbowe hapa segerea alifanya nini?Johni Mrema alishindwa vibaya na msichana ndogo lakini wakamwacha wakamchua Mrema,kila kocha anamchezaji wake anayempenda kucheza naye mechi.
 
Itakuwa vizuri sana kwa walaji wa habari tulio nje ya ccm ili kuyajua madhaifu ya Dr Bashiru
Hivi tukirudi nyuma chaguzi za ndani za CCM kwa mwaka 2015 na chaguzi za ndani za chama kwa mwaka 2020 zipi ambazo % ya wanachama waliona safari hii kuna mabadiliko ndani ya chama? Wengi kipindi cha nyuma walikuwa rushwa imewatala
 
Kinachowasumbua makada wengi ndani ya CCM ni kunyang'anywa mali za Chama ambazo walikuwa wamejimilikisha,enzi hizo kila kada alivuna pesa kutoka kwenye hizo mali,wanamshambulia Bashiru sababu ya hicho na si vinginevyo,Tatizo CCM ukanjanja na upigaji mwingi sana, inatakiwa isionekane katika uso wa Tanzania.
 
Hakika na ukiangalia kwa umakini utaona kuwa Bashiru anachukiwa kwakuvunja utaritibu wa CCM uliozoeleka - rushwa, majina makubwa, nani anamjua nani , mali za chama kugawana kishkaji etc.
 
Mwaga nyongo mzee kwani ikakaandani ni kama sumu rudia vizuri ukikazia zaidi unamwachia nani hayo mengine.
Alafu usisahau kuchomekea c mbaya kwani hata Nyerere baba wa taifa aliwai kuwaelezea hao watani zake kuwa.. fafanua tu yote.
Huyo anazo hasira za kaka yake kukatwa jina katika Uchaguzi wavKura za Maoni baada ya kubainika kugawa rushwa. Walitaka kumhonga Bashiru wakashindwa.
 
Huyo anazo hasira za kaka yake kukatwa jina katika Uchaguzi wavKura za Maoni baada ya kubainika kugawa rushwa. Walitaka kumhonga Bashiru wakashindwa.
Wacheni siasa za maji taka nyie chawa wa mwendazake.
 
Hakika na ukiangalia kwa umakini utaona kuwa Bashiru anachukiwa kwakuvunja utaritibu wa CCM uliozoeleka - rushwa, majina makubwa, nani anamjua nani , mali za chama kugawana kishkaji etc.
Uchaguzi wa 2020 unanuka rushwa ya ajabu sana
 
Kinachowasumbua makada wengi ndani ya CCM ni kunyang'anywa mali za Chama ambazo walikuwa wamejimilikisha,enzi hizo kila kada alivuna pesa kutoka kwenye hizo mali,wanamshambulia Bashiru sababu ya hicho na si vinginevyo,Tatizo CCM ukanjanja na upigaji mwingi sana, inatakiwa isionekane katika uso wa Tanzania.
Jamaa yenu kawachana na kuwaacha muwatupu kwa aibu
 
Mbowe hapa segerea alifanya nini?Johni Mrema alishindwa vibaya na msichana ndogo lakini wakamwacha wakamchua Mrema,kila kocha anamchezaji wake anayempenda kucheza naye mechi.
Mfuate basi wewe huyo kocha wako
 
Back
Top Bottom