Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,041
Bashiru na Polepole walikula rushwa sana za wagombea ubunge wa CCM ili wawapitishe , mpaka rushwa za ngono za skina Paulina Gekul .
CCM mlitegemea nini toka kwa mtu aliyekuwa akiwachambua kwa kuipendelea CUF wazi wazi? Mlidhani tonge litamfanya abadilike? Japo anaitwa mjamaa, Bashiru ni mchumia tumbo wa kawaida sawa na wale wote waliotelekeza taaluma zao na kujiingiza kwenye utapeli uitwao siasa.Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.
Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.
Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.
Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.
Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.
Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.
Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?
Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Aalimkata mwana mama aliyeongoza kura za maoni jimbo la babati mini, akaiweka small house yake na zaidi ikapata teuzi fulani na kutembelea vieitteee. Bashiru mtu mbaya sana.Itakuwa vizuri sana kwa walaji wa habari tulio nje ya ccm ili kuyajua madhaifu ya Dr Bashiru
kwahiyo leo kada aneongea unafiki au ya moyoni kwake!!!Tunaposema kuwa Magu alikuwa dhalimu kuna watu walikuwa wanabisha. Aliyoyafanya Magu kwenye demokrasia ya nchi hii ni ushenzi wa hali ya juu. Watu wako kimya lakini yule mtu alikuwa ni shetani mkubwa.

.ccm ni ile ile,baada ya miaka hii minne utashangaa anapewa uwaziri.Jamaa waliamua kuupanda ubaguzi wa kikanda sasa unawatafuna
Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.
Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.
Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.
Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.
Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.
Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.
Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?
Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Swali zuri sana hiliHivi ni Bashiru aliyefanya hivyo au JPM?
Bila huruma aliwakata wagombea ubunge Jimbo la shinyanga mjini wakiongozwa na Masele mwenye kura karibia 300 halafu akapewa nafasi mtu wa mwisho mwenye kura 7 (Patrobas Katambi).Alimkata Mhe. a. Chenge, Kangi Lugola, Chegeni na wengine wengi licha ya kuongoza kura za maoni.
Kwani ccm hizo mali walimilikishwa nani mara baada ya nchi kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa?Wengi wao wana hasira na chuki zisizokuwa na mashiko yoyote. Ni kwa sababu tu uhakiki wa mali za Chama aliousimamia Bashiru uliishia kwa hao vigogo wa Chama kunyang’anywa mali za Chama, ambazo walikuwa wamejimilikisha bila uhalali wowote!
bashiru ni mbunge,pole pole ni mbunge.Hayo ni maneno ya mipasho ya Hadija Kopa .

.Nawe unaamini ule ulikuwa ni ushindi ?!. JamaniMROPOKAJI HAFAI KUWA KIONGOZI.
KWA MAADILI YA AJIRA MOJA YA SIFA YA KUTOPATA AJIRA KWENYE TAASISI MPYA NI KIITUHUMU VIBAYA TAASISI YAKO YA AWALI.
SO, KWA MWAKA 2020 WATU WOTE WALIOPITISHWA NI WALE AMBAO WANANCHI WANAWATAKA SIYO WALIONUNUA KURA.
DR. BASHIRU NDIYE KATIBU PEKEE AMBAYE AMEIFANIKISHA CCM KUSHINDA ZAIDI YA ASILIMIA 99 BARA.
KWA UJUMLA BILA BASHIRU CCM SIJUI LAKINI NINA UHAKIKA KUNA KITU BASHIRU AMEWAFUNDISHA. MNATAKIWA KUWEKEZA KWA WANANCHI SIYO KWENYE MATUMBO YENU.
VILEVILE WEKEZA KWENYE UTENDAJI WA MTU SIYO KI UKANDA.
Nb. R.I.P DR JPM,

kwahiyo leo kada aneongea unafiki au ya moyoni kwake!!!
unajua sisi wengine huwa tunawaambia acheni uzuzu.nyinyi ni watu rahisi sana kuhadaika.
nyarandu aliopokuja kwenu 2017 akionekana mkataa udhalimu,leo kaondoka kwenu mnamwita msaliti.
mnafanya siasa za vidudu,wapinzani wenu wanafanya za chup kikuu.