wewe mjinga usisababishe tukapata hasira bure hivi unajua ni watu wa ngapi wa chadema wameishauwawa na kuumizwa na wengine mpaka sasa ni vilema kuanzia wakati wa uchaguzi wa Kiteto 2007,Tarime, busanda, biharamulo,na mpaka igunga kumbe Kikwete alinyamazia yale mauji kwasababu yeye ni sehemu ya mpango huo amehusika kupanga huu upuuzi wa kuwaua Watanzania kwasababu wana mawazo mbadala huyu anatangaza umwagaji damu na hatuatakubali hata kidogo.
JAKAYA Mrisho Kikwete, mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa, anapaswa kushitakiwa kwa uchochezi.
Akifungua mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama chake mjini Dodoma leo, Kikwete alichochea wanachama wa CCM kuwapiga wapinzani kwa kudai kuwa, Uvumilivu una kikomo.
Amewataka wana CCM kuacha unyonge kwa madai kwamba wapinzani wamekuwa wakiwapiga huku wao wakisubiri polisi kuchukua hatua za kisheria.
Hii ina maana kwamba, Kikwete ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano, amewataka wanachama wa CCM, kuchukua sheria mkononi. Ametaka wananchi kuumizana, kupingana na kuuana. Huu ni uchochezi unaoweza kuingiza nchi katika machafuko ya kisiasa, kidini na kijamii.
Kama Kikwete alitaka urais, bila shaka alijipima na kujiona anaweza kufanya kazi hiyo. Kama alikuwa anajua anakwenda Ikulu kujaribu, basi alikuwa amekosea. Ikulu siyo sehemu ya kujaribu.
Kauli ya Kikwete ya kutaka wananchi wajibu mapigo, ni ishara kwamba ameomba kazi ambayo haiwezi.
Rais wa nchi hawezi kuchochea raia wake kupigana. Anapaswa kutumia vyombo alivyonavyo kusimamia sheria.
Ni lazima akumbushwe kwamba nchi hii ikiingia katika machafuko au mauaji ya halaiki, yeye ndiye atakuwa wa kwanza kuulizwa. Anaweza asiulizwe na vyombo vya sheria vya hapa, lakini ataulizwa na vyombo vingine vya dunia.
Umenikumbusha ndugu,katika orodha ya wanachama wa freemason na Rais wenu yumo,hivyo yawezekana ni zamu yake kutoa damu za watu,ndiyo anatafuta hizo damu kwa njia za uchochezi wa Raia wake ili Damu ipatikane.
Mkuu kila mtu anayependa kuona amani inaendelea kudumu atakuwa ameipokea hii kauli kwa mikono miwili kwa vile sasa wadhalimu wanajua kuwa muda wowote wanaweza kukabiliana na nguvu ya dola.binafsi nilitoa chozi la furaha baada ya kusikia kauli Hii..
imetutia nguvu hatuta vumilia ujinga wala kuwa wanyonge mbele ya watu dhalimu
muwe mnawauliza mapdre wenu wawatafsirie wamesoma sana biblia ambayo kwa kiwango kikubwa imeandikwa kwa mafumbo la sivyo hamutaweza kujua viongozi wasomi wa CCM wanakuwa wanamaanisha nini kwenye kauli zao. Usitegemee vichwa matope kama cha MBOWE, LEMA, MSIGWA , LISSU, VICENT NYERERE na ninyi wote mjue wanakuwa wana maanisha nini?
1. CHADEMA ikiingia madarakani , mfuko wa cement 5000/= . gharama ya kuzalisha mfuko mmmoja shilingi ngapi?
2. CHADEMA ikiingia madarakani elimu, afya bure. tupe mfano wa nchi mojawapo afrika na hata ulaya inayotoa elimu bure?
3.Itaichukua CHADEMA mwaka mmoja kuibadilisha Tanzania kuwa nchi ya viwanda. unajua mapinduzi ya viwanda ulaya yalichukua muda gani?
4. Bomba la gesi kutoka Mtwara linjaengwa kwenda Ulaya na siyo Dar es Salaam, SLAA huyo.
5. Itaichukua CHADEMA siku 100 kuipatia Tanzania Katiba mpya. Tangu mchakato wa Katiba mpya uanze siku 100 bado? au hiyo ya CHADEMA wangelkaa mtaa wa UFIPA na kuiandika ili ndani siku 100 iwe imekamilika?
Kama ni matamshi ya kijinga CHADEMA wanaongoza.
Jaribuni kuboresha kama hamjaaibika!
Mnaanza kulia lia kabla hatujajibu mapigo, tulieni tujibu mapigo wasengerema nyie.
Umenikumbusha ndugu,katika orodha ya wanachama wa freemason na Rais wenu yumo,hivyo yawezekana ni zamu yake kutoa damu za watu,ndiyo anatafuta hizo damu kwa njia za uchochezi wa Raia wake ili Damu ipatikane.
Mkuu, jana hujaangalia taarifa ya habari?Yeriko hampaswi kumsuta JK kwa kauli yake, mnapaswa kujiuliza kama aliyoyasema ni ya kweli na kamani ya kweli basi muone umuhimu wa kubadilika amani ya Tanzania haitalindwa na rais KIKWETE au CCM peke yao, ni jukumu la taifa zima mkiwemo ninyi mnaolalamkiwa.
chozi la furaha wakati inaingia?binafsi nilitoa chozi la furaha baada ya kusikia kauli Hii..
imetutia nguvu hatuta vumilia ujinga wala kuwa wanyonge mbele ya watu dhalimu
Thatha, nitakupa mambo machache hapa chini ili na wengine wa kusaidie kuongeza na kukukumbusha na masuala ya Dini sinta yagusia kabisa kwasabbu hiyo ni sera ya CCM NA KILA MWANANCHI MTANZANIA MWENYE AKILI TIMAMU HILI ANALIJUA;
1.CHADEMA walisema nchi inahitaji KATIBA mpya na wakaiweka katika Ilani yao ya uchaguzi sasa ninajiuliza iweje CCM isiyokuwa ya Kidini ikaiba sera ya Chama cha Kidini na kuifanya ya kwake.Uniambie uandikaji wa Katiba Mpya mnatekeleza Ilani ya nani? CHADEMA au CCM?
2.CHADEMA walisema wakichukua nchi Elimu itatolewa Bure na kama ilivyo ada kwa ukasuku wa CCM mka adopt hili hook nail and sinker bila hata kuomba ushauri kwa vichwa hivi unavyo viita vya kidini viwaelekeza na mna ya kutekeleza mpango huo badala yake Mumeishia kuchemsha.
3.Tabia hii ya kugelezea vitu kwa wengine au kupenda kuteleza kwenye ganda la ndizi bila kushughulisha bongo ndo yanayopelekea kuanza kulalama humu JF mara ooh Warioba kakosea ,mara ooo serikali mbili ndo sera yetu,mARA TUJIANDAE KISAIKOLOJIA , MARA OOOH SASA TUSIWE WALEGEVU nk.
By the way ni bora Viongozi wenye udini kama unavyo dai walioko CHADEMA lakini wanajitambua na kutambua umuhimu wa kumkomboa mtanzania toka katika makucha ya mkoloni mweusi CCM kuliko kuwa na Waziri wa CCM aliyepewa dhamana ya kuongoza Wizara ya Elimu bila kujua Tanzania inaundwa kwa Muungano wa chi zipi!
hii ametangaza vita kati ya GREENGUARD +POLISI vs WANANCHI wasio na hatia kwa kweli amenihuzunisha sana sikutegemea kama kiongozi wa nchi mshauri mkuu wa wananchi anaweza kuwa mchochezi kiasi hichi