ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Habari wanajamvi wote
Nawatakia sikukuu njema ya nanenane (88) kwa wale
wakulima na wazalishaji wa nafaka na mazao mbalimbali
Mungu awafanikishe kwenye mazao yenu mpate masoko
na mzidi kufanikiwa kila mwaka MFANIKIWE
Na wale wenzangu ndugu zangu marafiki zangu nanyi
pia nawatakia sikukuu njema ya Eid mfurahi, na
kusherekea vizuri kwa amani na utulivu ila mumche
Mungu wenu na muache dhambi ambayo ni mauti
na mtaukosa ufalme wa Mungu. Furahini nyote
marafiki zangu wa cc pokea kagift hako.
Nawakilisha tu na kuwapenda pia.
cc: watu8 (Babamkubwa tualikane) Bujibuji, Mamndenyi, Arushaone pamoja na mkeo Lady doctor, stevoh, Passion Lady (my cousin), Filipo, Erickb52 (nasubiri mwaliko), Mentor, Mwita Maranya, Mtambuzi (yangu macho), KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Bishanga ( sijui kama utapona 2013), Kipaji Halisi (i miss u), saudari, Paloma (nasubiri mwaliko), sweetlady, FirstLady, Lady Unbreakable, Donn, Nicas Mtei (umepotea), Heaven on earth, amu (nasubiri mwaliko), Smile, mimisa, measkron, (mama mkubwa), Mrembo by Nature, christina Denzi, Christine, mwaJ, Madame B (tuko pamoja), madame X, Nyamayao, The secretary, Lady Na
marafiki zangu wote nisiowajua na ninaowajua pokeeni kagift hako.

Last edited by a moderator: