Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,081
- 28,186
msichanganye meli ipo salama, na huwa inafanya kazi SAA za usiku / hapo mnapoiona imetundikwa ni stand na imepumzika tu...
Sisi wakaazi wa wilaya ya bagamoyo kwa heshima na taathima tunaomba turudishiwe huduma ya usafiri wa meli yetu mv dsm maana ulikuwa ni suluhisho kwetu ambao kimsingi sisi wanyonge tusio na uwezo ndio ulikuwa muarobaini wa tatizo la usafiri.[/QUOTWazo lako zuri nadhani ingekua vyema ingefutiliwa sumatra waandikie barua pepe tupate suluhisho kuhusu huo usafiri
Mkuu sisi safari zetu tunazifanyaga asubuhi kwenda dsm na kurudi mchana hasa tunapo kuwa tunapeleka bidhaa za kuuza sokoni kariakoomsichanganye meli ipo salama, na huwa inafanya kazi SAA za usiku / hapo mnapoiona imetundikwa ni stand na imepumzika tu...
Jamani , tusifumue makaburi .Sisi wakaazi wa wilaya ya bagamoyo kwa heshima na taathima tunaomba turudishiwe huduma ya usafiri wa meli yetu mv dsm maana ulikuwa ni suluhisho kwetu ambao kimsingi sisi wanyonge tusio na uwezo ndio ulikuwa muarobaini wa tatizo la usafiri.
Mkuu sisi wakaazi wa bagamoyo tunapata sana shida ya usafiri hivyo kukosa hiyo meli ni pigo kubwa kwetu ukitilia maanani hiyo meli bado ni mpya kabisa
Sisi wakaazi wa wilaya ya bagamoyo kwa heshima na taathima tunaomba turudishiwe huduma ya usafiri wa meli yetu mv dsm maana ulikuwa ni suluhisho kwetu ambao kimsingi sisi wanyonge tusio na uwezo ndio ulikuwa muarobaini wa tatizo la usafiri.
😛Subiri kwanza tufike Dodoma... Hiyo meli haina umuhimu
#natania_tu
Ina maana hiyo MV DSM inahitaji ngazi maalumu ya kushushia na kupandisha abiria kwa kizungu GANGWAY. Hiyo gangway ndio inatengenezwa sasa.Bila Gangway usalama wa abiria wakati wa kupanndisha na kushusha abiria unakuwa mashakani.Lakini swali na mwendo kasi likiwa ndio kigezo basi ipelekwe Mafia wanahitaji zaidi.
halafu anaanzisha mahakama ya mafisadi ntashangaa na yeye kama hatotumbukia huko maana kodi za watanzania zilitumika vibaya.[/QNadhaniNadhania mgeachan siasa mgefatilia mahali husika mgejua kwa mv dsm ilikua inatengenezewa gangway kwa sh bill1.1.
Kwa hasira napita maana sins million 7.Mkuu umemaliza kila kitu yaani imekuwa ni sehemu ya mapumziko?