Unamwambia nani sasa??? Kaisome namba huko. Ulipopiga kura hukujua kuwa kuna hiyo meli??Sisi wakaazi wa wilaya ya bagamoyo kwa heshima na taathima tunaomba turudishiwe huduma ya usafiri wa meli yetu mv dsm maana ulikuwa ni suluhisho kwetu ambao kimsingi sisi wanyonge tusio na uwezo ndio ulikuwa muarobaini wa tatizo la usafiri.
Muungwana ni vitendoNashukuru sana kwa kunikosoa
Halafu niliwahi kusikia ina undugu na TITANICHivi si ni ile mpya kabisa!!
Tuliaaa dozi ikuingieee Teh Teh tehWewe mmakonde umeamia B/Moyo lini?
ha ha haAhaaaaa nayo in Lowassa eti Watanzania?
Sisi wakaazi wa wilaya ya Bagamoyo kwa heshima na taathima tunaomba turudishiwe huduma ya usafiri wa meli yetu Mv Dsm maana ulikuwa ni suluhisho kwetu ambao kimsingi sisi wanyonge tusio na uwezo ndio ulikuwa muarobaini wa tatizo la usafiri.[/QUOTE
Wewe kwenu Msumbiji, mambo ya Bagamoyo yanakuhusu nini?
Ubarikiwe sana.Tulipiga vigelegele sana siku ya uzinduzi........look who was there to officiate her!
feri ya bagamoyo - Google Search
Daaaa wacha tuyavumilie maumivu mkuutupe bize kuhamia dodoma na vilainishi. Hiyo issue yako ni ndogo sana. Endeleeni kuvumilia mpaka pale tutakapoweka makazi kbs.
Unajua wanahodha wengi wanavyeti feki na weng hawana cheti cha darasa la saba kwahyo tunawakagua tukishamaliza. Mwakan mwez huu tunaweza au tusiweze kuwaletea meli. Mtuvumilie tu.
HAPA KAZI TU.